Kwa mbali nimeanza kuuelewa ulinzi mkali wa Rais...

Kwa mbali nimeanza kuuelewa ulinzi mkali wa Rais...

Hujui unacho kiropoka sasa
Naomba pia uzingatie neno "nahisi".
Hizo ni hisia zangu, sijasema kama mambo ya kweli.

Hisia zimtokana na kauli zake zile "watu wanataka wakuchinje wakutupe baharini kama Ghadaf".
 
Marekani alikuwa na ulinzi mkali sana, lakini Alhaji Ossama, aliingia akamshikisha adabu
 
Sio kwamba ulinzi ukipungua unakuwa faida kwa Taifa?
Kweli ulinzi mkali kabisa unahitajika, aongeze zaidi ulinzi, kuanzia, hasa katika safari zake zote, hata ktk ndege zake aongeze ulinzi kote yaani, sbb kumbe maadui zake ni watu wakubwa wastaafu walioshika madaraka makubwa.. Kupambana na maadui kama hawa kweli unahitaji kutumia njia zote kushinda. Naunga mkono hoja aongeze ulinzi mkali kabisa
 
Ulinzi ni mkali kwa sababu bwana yule alishajipambanua kuwa ni mtu wa visasi, chuki, na roho mbaya.
Sio dikteta bali hayupo pale kumfurahisha kila mtu kama mlivyozoea, hilo ndilo mnatakiwa muelewe na ndio tofauti ya Magu na JK.

JK was like a candy man or ice cream man. Very diplomatic and understanding to an extent akawa na kundi la watu wengi wa kuwafurahisha kwa expense ya walipa kodi. Ndio maana ufisadi ulitamalaki waziwazi na tukawa tumegawanyika kinamna flani.Mtu mwenye affiliation na jamaa zake mkuu basi aliweza kukufanyia lolote na usingeweza kushtaki popote ukasikilizwa ikiwa wewe ndie mnyonge.

Sasa Magufuli hana biashara hizo za kukumbatia upuuzi, if you fuckk up big tyme akikufikia anakunyoosha straight away. Hakuna zile aibu za kijinga za kulinda wapuuzi na kama wapo basi sio wengi na hio anafanya kwa maslahi mapana ya nchi. Kuna watu waliokuwa wanajiona untoachable kama vile wanamiliki share kubwa ya uraia hapa nchini ndio kawapa advertise na ataendelea kuwapa advertise tu hadi kieleweke.

Ule mkwara ya unanijua mi nani sikumbuki mara ya mwisho kuusikia. Yani ni kuheshimiana tu kuanzia PM hadi muuza karanga wa Stand ya Mboya.
 
Nijuavyo Mimi hata akilindwa na jeshi zima,wakiamua kumtoa wanamtoa tu maana walinzi wote ni binadamu nao wana mawazo tofauti, mkitaka majibu kamili kamuulizeni Kabila OG
 
Hakuna lolote, yani kusiwe na ushindani wa kisiasa? Watu kutaka tu kugombea 2020 nayo inaonekana ni sababu ya mtu kujiongezea ulinzi? Watu wasikosoee?

Basi hakuna haja ya demokrasia. Hivi JK alivyokuwa anakosolewa na hata kutaka kupokonywa kiti ndani ya chama na Edo naye angesema aongezewe ulinzi.

Tusidanganyane, tusitafute kichaka cha kijifichia. Tumekwama kama Taifa, mtu kaharibu mambo wazalendo wanaona sasa inatosha hali hii haiwezi kwenda miaka 10. Kujenga ni kazi ngumu na ya muda mrefu kubomoa ni kazi kidogo sana.

Biashara vilio, kilimo huko ni vilio, uchumi hoi, watumishi hoi, mwaka wa tano huu tunazungumzia Stigler na SG ambao mpaka tukope ndio tujisogezee . Nini cha kujivunia kama Taifa?
Grand corruption "ki richmond richmond, akachube and the like, ki madi madini, , kigambo gamboni" kimdumange na kigodoro
 
Kweli ulinzi mkali kabisa unahitajika, aongeze zaidi ulinzi, kuanzia, hasa katika safari zake zote, hata ktk ndege zake aongeze ulinzi kote yaani, sbb kumbe maadui zake ni watu wakubwa wastaafu walioshika madaraka makubwa.. Kupambana na maadui kama hawa kweli unahitaji kutumia njia zote kushinda. Naunga mkono hoja aongeze ulinzi mkali kabisa
Kuzungumza tu ktk mazingira ya kidemokrasia tayari ni uadui? IPO shunghuli.
 
..itakuwa vipi kwa Wale wengine tusiowajua?
Tusiowajua = Wasiojulikana = Wapo TISS chini ya Bashite kama coordinator! Acheni kukuza mambo! Kwavile Jiwe na Timu yake Madhalimu ndo wanadhani kila mmoja ni madhalimu kama wao! Hakuna mwenye haja ya kumuua Jiwe, manake watu kama hao wangekuwepo, wangeanza na Bashite!!

Yaani Mzee Mwanakijiji utadhani umerogwa! Hivi unaweza kuthubutu kusema Jiwe anakumbana na upinzani mkubwa kama ambao alikuwa anakumbana nao Mzee wa Msoga?! Hivi cha kutisha hasa alichofanyiwa ni kipi hadi ionekane ni kweli maisha yake yapo hatarini, na kwahiyo kumbe ndo maana anatembea na maaskari utadhani anaenda uwanja wa mapambano!

Mwambieni aagize na Vifaru vya Mwendokasi kabisa ili awe anaenda navyo kila mahali huku midege ya kivita ikisindikiza ndege atakazopanda kila anakoenda, vinginevyo, show-off za kutembea na rundo la wanajeshi ni ushamba tu wa kutaka kuwaaminisha vilaza kwamba anawindwa!
 
Kweli ulinzi mkali kabisa unahitajika, aongeze zaidi ulinzi, kuanzia, hasa katika safari zake zote, hata ktk ndege zake aongeze ulinzi kote yaani, sbb kumbe maadui zake ni watu wakubwa wastaafu walioshika madaraka makubwa.. Kupambana na maadui kama hawa kweli unahitaji kutumia njia zote kushinda. Naunga mkono hoja aongeze ulinzi mkali kabisa

Your comment ni serious...Ila nimecheka sana kwa kweli...hasa pale ulipoandika "...kumbe maaduizake ni watu wakubwa wastaafu..."
 
Sijui kuhusu quantity au quality ya ulinzi lakini visibly ulinzi wa Magufuli unaonekana umezidi sana kwa watangulizi. Sikumbuki kuona watu na bunduki wakiwa na Kikwete

Mwenyewe alishasema sababu kubwa ya kutokutana na viongozi wa vyama vya siasa shindani ni kuwa anaamini watamchinja na kumtupa baharini!.
 
Naamini maisha ya viongozi wengi tu yapo hatarini, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama TISS, JWTZ ni muhimu kuchukua tahadhari...Hawa wastaafu ni hatari sana...wamegoma kustaafu.
 
Leo wastaafu wamekua mafisadi, kazi ipo!!

Maana yake kila mtu nchi hii sasa ni fisadi! Hence there is some truth in what the Economist once said: "bigwigs in ccm saw the benefits of more open and pluralistic economy. But they failed to do the tedious work of strengthening institutions and limiting the powers of their successors. Now they have lost the chance to embed the reforms and the country faces ruin"
 
Vijana anaowategeneza ni wa Ovyo sana, Linatengenezwa Taifa la kusifia na kujipendekeza ili mtu apate Cheo/madaraka, Taifa lisilo taka mwenye Mamlaka kukosolewa..
Trump ni dikiteta?

Ulinzi wa rais wetu haulinganishwi na wa rais wa nchi nyingine yoyote duniani bali na marais waliopita wa Tanzania. Baba wa Taifa alikuwa jabali la kimataifa. Alipozungumza kwenye majukwaa ya kimataifa enzi zile za vita baridi, ukoloni mkongwe na ubaguzi wa rangi kusini mwa Afrika wote walinyamaza kumsikiliza ingwa baadhi yao walimchukia na mwita 'an evil geneous'. Pamoja na hayo hakuruhusu ulinzi wake uwe wa kutisha raia wake. Aliweka msingi wa ulinzi wa marais wa Tanzania. Ndiyo maana sasa kuna watu wanaoshangaa kulikoni na wanajadili!
 
Back
Top Bottom