Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Wakati wanakesha walikuwa wanalipwa Per diem hawakukesha bureila inauma waliokuwa wanakesha kipindi kile wanapumulia gesi wkat akina bashite wanakula keki tu[emoji23][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wanakesha walikuwa wanalipwa Per diem hawakukesha bureila inauma waliokuwa wanakesha kipindi kile wanapumulia gesi wkat akina bashite wanakula keki tu[emoji23][emoji16]
Angalau sasa sote tunakiri tunaye dikteta. Ukweli ni kwamba madikteta wote ulimwenguni wanahitaji ulinzi mkali na katika msingi huo naunga mkono ulinzi uzidi kuimarishwa.
Kwani sio kweliLeo wastaafu wamekua mafisadi, kazi ipo!!
Kweli tulihitaji wa kuwaziba wengine kufikiri, kusema na kutenda hata kwa jambo la kikatiba ?!Hakika tulimuhitaji Rais kama huyu wakuibadilisha Tanzania,pamoja na yote yanayoendelea Mimi nitampambani Rais wangu kwa njia yoyote hata kwa kuvuja damu
Hivi Magufuli ulinzi wake ni mkali kushinda wa waliomtangulia?
Angalau sasa sote tunakiri tunaye dikteta. Ukweli ni kwamba madikteta wote ulimwenguni wanahitaji ulinzi mkali na katika msingi huo naunga mkono ulinzi uzidi kuimarishwa.
Kumbe Obama na Bush kutembelea Tanzania ni sawa na Magufuli kutembelea Chato...kweli ujinga gunia zito la misumari!Hapa umeongea pwenti kubwa hata madikiteta Bush na Obama wa USA kipindi kile walipotembelea hapa Tanzania tuliuona ulinzi wao ulivyokuwa imara ilikuwepo mpaka nuke submarine.
Angehamia kwenye kambi ya jeshi ingekuwa poa zaidi ili wamhami na magari ya deraya....Ulinzi uongezwe kwa Rais
Magufuli ni scientistKama Mambo ndani yako hivi Tena kwa watu wa karibu...kwa hawa tu tunaowajua..itakuwa vipi kwa Wale wengine tusiowajua?
Ndio..ina maana hata wakati wa KAMPENI ataambatana na walinzi waliobeba MABUNDUKI huku wamenuna?
Tuliambiwa nchi inanyooshwa nadhani sasa wale walioipindisha wanahaha 😂😂😂.Amevuruga sana uchumi na maisha ya watanzania kwa muda mchache sana.
Je, ni pamoja na yeye? kumbuka alikuwa waziri kwa muda wa miaka zaidi ya ishirini!Tuliambiwa nchi inanyooshwa nadhani sasa wale walioipindisha wanahaha 😂😂😂.
Jiwe hapangiwi, anajua nini atafanya.Ulinzi uongezwe kwa Rais
Nahisi Raisi alikuwa anatamani aongee mengi kutujulisha watanzania jinsi watu wanavyoitaka roho yake lakini alikuwa anashindwa.
Ndio ujue zile kelele za Mange na wenzie kuwa walinzi wanatoka nchi jirani zilikuwa zinatoka kwa watu wa karibu yake walioshindwa kumdhuru.
Ili ufanikiwe kumdhuru lazima uwe na mamluki ndani ya walinzi wake.
Nieleze wewe unachofahamu, nitashukuru mkuu.Hujui unacho kiropoka sasa