Kwa mbali nimeanza kuuelewa ulinzi mkali wa Rais...

Kwa mbali nimeanza kuuelewa ulinzi mkali wa Rais...

Hakika tulimuhitaji Rais kama huyu wakuibadilisha Tanzania,pamoja na yote yanayoendelea Mimi nitampambani Rais wangu kwa njia yoyote hata kwa kuvuja damu
Wewe si kila mwezi unavuja damu cha ajabu kipi hapo?
 
Itakuwa hukuzaliwa wakati wa awamu zilizopita.
Ushawahi ona mitutu kibao wakati wa kikwete?

Na ugonjwa huu wa ulinzi mkali unaambukiza. Miaka 2 au 3 iliyopita magari ya baadhi ya majeshi yetu yanayovaa sare yameanza kuwa na utaratibu wa kutosimama kwenye taa za barabarani za kuongoza magari! Aidha majuzi nilishuhudia msafara wa mkuu wa jeshi letu moja dogo tu lakini rear guard yake ilikuwa na bunduki 6 at the ready!
 
Hao ni walinzi unaowaona/unawajua, wako walinzi wengi zaidi wasiojulikana na wanafanya kazi hata wao wenyewe hawajuani.

Ikiwa anawatendea hivi miti mibichi, je itakuwaje miti mikavu?
 
Ha ha ha ha haha nasema hivi tena kwa herifu kubwa HUO MSONGO WA MAWAZAO ALIOKO NAO tayari ni silaha tosha ya kumwangamiza.................... Huyu ni wale wakilala hawarudi walala moja kwa moja ................. Stress zake sio za hapa kabisa na ndio maana huwa hata saa nyingine anaropoka nina frustration kwa maana hiyo apambane na hali yake tuu
 
Guns do not kill people.. but people do kill people..
 
Kumbe Obama na Bush kutembelea Tanzania ni sawa na Magufuli kutembelea Chato...kweli ujinga gunia zito la misumari!


Ujinga gunia zito la misunari ni kumuita JPM, Obama na Bush madikteta waliopewa ulinzi wa binduki mzito mzito. Na ujinga huu ukiachwa ukakua na kukomaa basi huzaa upumbafu/vu.
 
Tuliambiwa ulinzi wa namna ile ulikuwa zidi ya mabeberu walionyang'anywa kitumbua mdomoni, akina Acacia.

Sasa ulinzi mkali zaidi unatakiwa zidi ya wapiga dili nchini, na maadui wapya walioko huko CCM.

Baada ya hapo itabidi uwepo ulinzi zidi ya wabaya toka vyama pinzani, hasa wale walionjeshwa 'joto' ya jiwe kwa namna moja ama nyingine, kama kusweka mahabusu, kubambikiwa kesi, n.k..

Tukishaimarisha huko kote, itatulazimu tuongeze ulinzi mkali zaidi kukinga dhidi ya wananchi/raia wasioridhika au wanaorubuniwa na makundi hayo yote hapo juu.

Nadhani itabidi to-'design' 'space capsule' tutakapomweka rais wetu asidhurike na kitu chochote, sio bacteria, virus, hewa chafu, chakula, maji na hata electronic boom zinazoweza kuelekezwa kwake zisimdhuru.

Ni intimidation tu, hakuna kingine. Huyu mjamaa anapenda kuonekana tough, what better way kama sio kuzungukwa na mijitu yenye silaha!
 
Watanzania na waafrika kwa ujumla Trump aliwakusema tunitajika kuendeleqa tawaliwa miaka 100 mbele angalia ndo watuache tujitawale....Hivi bado wapo wanaopinga kazi anazofanya Magu kweli...hiii nipo Tanzania au uchi za nje?
kafanya kazi gn kavuruga nchi 2
 
Nani jiwe au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1563658198161.jpeg
 
Ni intimidation tu, hakuna kingine. Huyu mjamaa anapenda kuonekana tough, what better way kama sio kuzungukwa na mijitu yenye silaha!
Hili mbona wengi wanalijua? wengine huita "Ulimbukeni."

Nilicheka sana siku ile alipokwenda uwanja wa mpira Nyamagana; baadae akatoka hapo na kuingia mtaani kwenda kununua karanga kwa akina mama, huku mitutu imemzunguka kama yupo vitani.
 
Na ugonjwa huu wa ulinzi mkali unaambukiza. Miaka 2 au 3 iliyopita magari ya baadhi ya majeshi yetu yanayovaa sare yameanza kuwa na utaratibu wa kutosimama kwenye taa za barabarani za kuongoza magari! Aidha majuzi nilishuhudia msafara wa mkuu wa jeshi letu moja dogo tu lakini rear guard yake ilikuwa na bunduki 6 at the ready!
kwa yote yanayoendelea nchini naona hali ni kama ya zamani, hamkubuki hata polisi mitaani walikuwa hwatembei na siraha kali katika doria kama siku zaidi walikuwa na vilungu au matukio kama ya wale askari kadhaa kuuwawa maeneo ya kibiti, wakati mwingine tahadhari lazima zichukuliwe si kwa viongozi wa serikali pekee bali hata kwa wanasiasiasa wa upinzani pia. kwani tukio kama la Tundu Lisu, kama angekuwa na ulinzi hata kama wa diamond isingekuwa vile
 
Mara nyingine akili yako in fyatu.
Unawezaje kufananisha kitisho cha lowassa ambaye hakuwa na back up ya wastaafu na kitisho cha sasa chenye harufu ya nguvu ya watu waliowahi kushika dola?
JK alikaa muda mrefu wa kitisho cha Lowasa na hakuwa na ulinzi wa hivyo iweje hili la kina Makamba mtake kuhalilisha kuuza nguruwe msikitini? Bado mnaamini mnaweza kulazimisha matumizi mabovu kwa kisingizio cha maadui zake? Hiyo ni hali ya kawaida sana kwenye siasa, labda kama mlishiba hii propaganda mfu ya kimkakati kwamba anakubalika sana. Mzee acha kutaka kutakatisha Kaniki.
 
Back
Top Bottom