Kwa mbwembwe hizi, mnaenda kushindana na nani?

Wasanii kama wote, mbwembwe kama zote, mipasho kama yote, gharama kama zote, mshindani wenu ni nani???
anashindana na KIVULI chake mwenyewe

mwanamke so INSECURE! sijawahi ona!
 
Wasanii kama wote, mbwembwe kama zote, mipasho kama yote, gharama kama zote, mshindani wenu ni nani???
House girly wako unampeleka hotel ya nyota 5 huo si upumbavu umeshindwa hata kumpeleka stoo
 
Wasanii kama wote, mbwembwe kama zote, mipasho kama yote, gharama kama zote, mshindani wenu ni nani???
Yeyote atakayejitokeza, kama hawakutokea basi tutajinyakulia ushindi wa bwerere na kuondoka kwenda kuwahurumia wananchi........hilo ndo la umuhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…