BabuFey
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 2,943
- 4,707
Na Salim Mwalim ambaye hajawahi kuwa hata mjumbe wa serikali ya mtaa na hakuwahi kushinda uchaguzi wowote maisha yake.šWasanii kama wote, mbwembwe kama zote, mipasho kama yote, gharama kama zote, mshindani wenu ni nani???