Na Salim Mwalim ambaye hajawahi kuwa hata mjumbe wa serikali ya mtaa na hakuwahi kushinda uchaguzi wowote maisha yake.😂Wasanii kama wote, mbwembwe kama zote, mipasho kama yote, gharama kama zote, mshindani wenu ni nani???
YEYOTE ATAKAEKUJA MBELE...HATA WEWE UKIJA😎Wasanii kama wote, mbwembwe kama zote, mipasho kama yote, gharama kama zote, mshindani wenu ni nani???
Haujui maana kodi, jifunze kwanza.Kodi unalipa saa ngapi mbona muda wote unazurula jamii forum
Huyu mama angekuwa anauzika kwa wananchi msingetumia nguvu kubwa hivyo, by the way anashindana na nani?!Pole sana
OCTOBER TUNATIKI ✅
na hii yote ni baada ya mama zao kufeli😁MTAKUFA KWA ROHO MBAYA ZENU YAANI MNAUMIA KWELI SIJUI MLITAKA NANI AWE RAIS?
Kawaida ya CCM labda km umezaliwa janaWasanii kama wote, mbwembwe kama zote, mipasho kama yote, gharama kama zote, mshindani wenu ni nani???
YAni mtu apandshe mishahara Watumishi halafu useme hauziki au na wew huelewi unaongea nnHuyu mama angekuwa anauzika kwa wananchi msingetumia nguvu kubwa hivyo, by the way anashindana na nani?!
Leta form nijaze umriUna umri gani wewe?
Fuatilia bajeti ya uchaguzi sasa utachoka.Wasanii kama wote, mbwembwe kama zote, mipasho kama yote, gharama kama zote, mshindani wenu ni nani???
Staili ya utawala wa A5 na A6 kwenye swala la demokrasia hauna tofauti sana,,,huyo anaeitwa mpinzani aliye mahabusu aligombea 2020 na alipata chini ya 15%,,Wasanii kama wote, mbwembwe kama zote, mipasho kama yote, gharama kama zote, mshindani wenu ni nani???
mama yako!MTAKUFA KWA ROHO MBAYA ZENU YAANI MNAUMIA KWELI SIJUI MLITAKA NANI AWE RAIS?
Hao walionda shule si ndio unasema wanatuibia?Um
Umeishia darasa la ngapi wewe lofaa.... Ndiyo maana mnaambiwa shule ni muhimu
Hao walionda shule si ndio unasema wanatuibia?Um
Umeishia darasa la ngapi wewe lofaa.... Ndiyo maana mnaambiwa shule ni muhimu
Hao walionda shule si ndio unasema wanatuibia?
Anashindana na nani? Chaumma au ACT?
Shame!!