comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Kwa hapa tulipofikia, akiamua aongoze mpaka achoke yeye ni kitu ambacho anaweza na chepesi sana kwake, hakuna kitu kitakachomzuia.
Kuna jamaa alitoa Uzi asubuhi anasema mtanganyika ni mpumbavu na sio wa kuonea huruma, ukipata nafasi mpasue tuu hata kama Kuna ulazima wa kumuua wewe Fanya hivyo.
Mpaka pale akili zitakaporudi, kwa upande wangu nitafurahi sana akifanya hivyo maana ipo ndani ya uwezo wake, mpaka akili zikae sawa.