comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
- #21
Hiyo sera anaibadiliaha tu, kwasasa yeye ndio ccmHapana hawezi,sera ya chama chao haikubali na akitaka kufanya japo najua hawezi,hatofanikiwa
Hiyo sera anaibadiliaha tu, kwasasa yeye ndio ccmHapana hawezi,sera ya chama chao haikubali na akitaka kufanya japo najua hawezi,hatofanikiwa
kwa Tz ni rahisi sana kabda asiamuengumu sana
Waliokaa madarakani hao akina M7 ni WANAJESHI!
Huyu kuruta ni Hana ishu
hili liko wazi kisheria, akiamua kuendelea ataendelea hata kibabe kuwa atimize miaka kumi awamu mbili
Unayajua maendeleo kweli pesa zote zinachotwa na kundi la wanyanganyi maendeleo yatoke wapiSisi wananchi tunachohitaji ni maendeleo ya nchi na mtu mmoja mmoja,good in all things at a peak highly level...,kila mtu aishi maisha bora,shule nzuri,maji safi,barabara nzuri matibabu bora yenye gharama nafuu,pamoja na uwezeshaji watanzania,urais ni nafasi moja tu,basi inamuhutaji mtekelezaji na si muongeaji na mwanaharakati.
Kwa maoni yako sasa wewe leo ni mwaka wa tano hayo ulioyaainisha juu umeyaona ?Sisi wananchi tunachohitaji ni maendeleo ya nchi na mtu mmoja mmoja,good in all things at a peak highly level...,kila mtu aishi maisha bora,shule nzuri,maji safi,barabara nzuri matibabu bora yenye gharama nafuu,pamoja na uwezeshaji watanzania,urais ni nafasi moja tu,basi inamuhutaji mtekelezaji na si muongeaji na mwanaharakati.