comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Kama yeye akiamua ugumu wake upo wapi?ngumu sana
Tuseme ukweli miaka ile minne alimalizia enzi ya mwenda zake,na hakuchaguliwa na WATZ,inaweza kufutwa tu endapo tunaona nchi inasonga mbele.Anaweza akasema ile miaka minne haihesabiki kwake, ilikuwa awamu ya Magufuli kwa hiyo akamilishe miaka kumi, jumla itakuwa miaka kumi na nne
Kwa hapa tulipofikia, akiamua aongoze mpaka achoke yeye ni kitu ambacho anaweza na chepesi sana kwake, hakuna kitu kitakachomzuia.
Kuna jamaa alitoa Uzi asubuhi anasema mtanganyika ni mpumbavu na sio wa kuonea huruma, ukipata nafasi mpasue tuu hata kama Kuna ulazima wa kumuua wewe Fanya hivyo.
Mpaka pale akili zitakaporudi, kwa upande wangu nitafurahi sana akifanya hivyo maana ipo ndani ya uwezo wake, mpaka akili zikae sawa.
Watamuua muda si mrefu wewe subiriKama yeye akiamua ugumu wake upo wapi?
Nani atamuua?Watamuua muda si mrefu wewe subiri
Nawaza kiipuuzi, ivi anafanya mapenzi kweli ? Unajua hawa mama zetu wakiwa hawafanyi ( wasipokuwa wanapelekewa mtoto kisawa sawa ) wanakuwaga na vi hasira hasiraKwa hapa tulipofikia, akiamua aongoze mpaka achoke yeye ni kitu ambacho anaweza na chepesi sana kwake, hakuna kitu kitakachomzuia.
Kuna jamaa alitoa Uzi asubuhi anasema mtanganyika ni mpumbavu na sio wa kuonea huruma, ukipata nafasi mpasue tuu hata kama Kuna ulazima wa kumuua wewe Fanya hivyo.
Mpaka pale akili zitakaporudi, kwa upande wangu nitafurahi sana akifanya hivyo maana ipo ndani ya uwezo wake, mpaka akili zikae sawa.
Kabisa inamtusha kwa uhai wakeAnaweza akasema ile miaka minne haihesabiki kwake, ilikuwa awamu ya Magufuli kwa hiyo akamilishe miaka kumi, jumla itakuwa miaka kumi na nne
Elewa tu Watamuua subiri atoke zaidi kwenye mstari hayuko salama kivileNani atamuua?
Huwa nawaambia watu samia atafanya hivi ila hawaamini, yetu machoAnaweza akasema ile miaka minne haihesabiki kwake, ilikuwa awamu ya Magufuli kwa hiyo akamilishe miaka kumi, jumla itakuwa miaka kumi na nne
hili liko wazi kisheria, akiamua kuendelea ataendelea hata kibabe kuwa atimize miaka kumi awamu mbiliTuseme ukweli miaka ile minne alimalizia enzi ya mwenda zake,na hakuchaguliwa na WATZ,inaweza kufutwa tu endapo tunaona nchi inasonga mbele.
Hapana hawezi,sera ya chama chao haikubali na akitaka kufanya japo najua hawezi,hatofanikiwaKwa hapa tulipofikia, akiamua aongoze mpaka achoke yeye ni kitu ambacho anaweza na chepesi sana kwake, hakuna kitu kitakachomzuia.
Kuna jamaa alitoa Uzi asubuhi anasema mtanganyika ni mpumbavu na sio wa kuonea huruma, ukipata nafasi mpasue tuu hata kama Kuna ulazima wa kumuua wewe Fanya hivyo.
Mpaka pale akili zitakaporudi, kwa upande wangu nitafurahi sana akifanya hivyo maana ipo ndani ya uwezo wake, mpaka akili zikae sawa.
Hivi unajua kuruta wewengumu sana
Waliokaa madarakani hao akina M7 ni WANAJESHI!
Huyu kuruta ni Hana ishu