Kwa miaka 18 sijawahi kushudia ugumu wa biashara kama awamu hii ya Tano

Mambo ya multiplier effect kwenye uchumi,Safi sana mchumi
 
Wewe ni poyoyo,are you economist hadi utuletee ramli zako hapa? Deteriorations ya hiyo miaka kumi unaijua wewe? Watu wa aina yako ndio mumeharibu uchumi wetu hujui chochote kisa umeajiriwa unalipwa jasho letu
 
Kuwa specific ili tuweze kuchangia vzuri. Je tatizo ni production cost zimeongezeka?
Je ni masoko yanapatikana kwa shida?
Weka mambo wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungetoa mfano wa hicho unachokisema!

Sent using Jamii Forums mobile app
money is idea..
Kama unaweza kudondosha pesa mahali popote ovyoovyo Fanya wewe nilchokisema kuhusu kauli ya mtoa post ni kwamba sio kweli ila wafanyabiashara wa kitanzania walio wengi hawana biashara au mawazo mbadala hvo akchemka upande flan anakuwa hana pa kukimbilia alafu utaambiwa n mfanyabiashara......
 

Hali inapozidi kuwa tete si wafanyabiashara tu wanaoathirika bali hata mapato ya nchi huathirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…