Kwa miaka 20 ya uongozi wa CHADEMA Manispaa ya Moshi imeshindwa kuwa Jiji, Jafo tuangalie kwa jicho la huruma!

Moshi kamwe haiwezi kua JIJI Jiwe akiwa madarakani.....Iringa na Moro vitakua majiji kabla ya Moshi.
Jiwe ana allegy ya Kaskazin
 
Moshi haiwezi kuwa jiji kwa kuwa hakuna sifa hizo labda wachagga warejee wawekeze huko badala ya kukimbilia mikoani.
 
Halafu unasema upo kwenye kwaresma...
Sio kwamba nakuhukumu bwashee.
Mtu yoyote mwenye hofu ya Mungu hawezi kufanya upuuzi wa namna hii...
Bwashee umekwazika mimi kumuomba Jafo atuhurumie?!
 
Umechanganya sana lugha lakini umeongea ukweli kwa vigezo vyote Moshi haiwezi kuwa Jiji itabaki kuwa sehemu ya kuzikia na Matambiko!
 
Bwashee nilikuwa pia sijui kumbe sehemu kuwa jiji ni huruma ya mtu fulani na si kuwa na vigezo?
Na kwa taarifa yako Chato inaenda kuwa Jiji kabla ya Moshi

Ila nashauri Moshi iendelee kuhifadhi ukijani kuulinda mlima unafaida zaidi ya hao watu ma majengo mnayotaka ya badilishe jina kuwa Jii
 
Na kwa taarifa yako Chato inaenda kuwa Jiji kabla ya Moshi

Ila nashauri Moshi iendelee kuhifadhi ukijani kuulinda mlima unafaida zaidi ya hao watu ma majengo mnayotaka ya badilishe jina kuwa Jii
Ni jambo jema!
 
Haya malumbano ya vyama kwa sasa hayana nafasi! tunataka Tanzania iwe kama UK kila mahali ni nyie msitafute sababu
 
Tengeneza kwanza Manispaa ya Rombo
Waache wenye Moshi yao
 
siku bosi akifurahishwa na mtu yeyote hapo kwenu atakutangazeni kua jiji hata kama vigezo bado usijali mkuu
 
Kwa utawala huu wa jiwe sahau. Kama Jiji limeporomoshwa kuwa Halmashauri, vp kwa Moshi si ndiyo ingeporomoshwa kabisa na kuwa Ngazi ya Kata?? Wivu umetawala sana kichwa cha mtu fulani. Ila nafurahi kwani anajiongezea stress hivyo anaweza asikamilishe lile suala lake la kujiongezea muda.
 
Ndiyo maombi ya watz wengi mkuu
 
Habari yafo mmeku?

Kumbe kwafo ni Usseri vaita?

Lakini usijali, hata wasipotangaza Moshi kuwa jiji, rais ajae ambae hatakuwa m baguzi na mkabila atatangaza tu.
 
Nimekuelewa bwashee!

Badala ya kuwekeza wao hurudi kutambika tu!
Ni kama wapemba kwao pemba kuko hovyo acha hawawekezi kule pemba wapemba wamejazana kuwekeza Unguja na Tanzania bara kule kwako kuko hoi huwa wanaenda tu kulaghai kipindi cha uchaguzi wapemba wanasiasa wakaa unguja na Tanzania bara na wenye biashara zao unguja na Dar ndio vinara kulaghai Pemba!! Wachaga na wapemba ikija kwenye uwekezaji kwao wako zero kule kwao huenda tu kufanya matambiko lakini ukienda mikoa mingine wamewekeza sio mchezo ni uwekezaji wa kufa mtu
 
Geita ni zaidi ya Moshi haikupewa jiji
Shinyanga ni zaidi ya Moshi haikupewa jiji
Singida ni zaidi ya Moshi haikupewa jiji
Tabora ni zaidi ya Moshi haikupewa jiji
Morogoro ni zaidi ya Moshi haikupewa jiji

Huyo Moshi hata kwa kahama akasome mzee, level yake labda katavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…