Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, kwa miezi 6 Mama amekopa Trilioni 10, Ndugai yuko sahihi, spidi ya kukopa ni kubwa sana.

Ni spika dhaifu
 
Miradi imesimama kwasababu hakuna pesa, husikii watendaji wakilalamika? Sgr, brt, upanuzi wa bandari, n.k vyote vimesimama au kufutwa kabisa, Sasa miradi ipi hiyo?
Watendaji wa wapi mbona mimi Niko kwenye mojawapo ya hiyo miradi sijaona uliposimama?

Tumeshamaliza salander,by June tunamaliza Kigongo Busisi,tumezindua brt phase 3,tumezindua reli juzi .Kila wiki TRC na akina Ben Mwanantala wanatoa updates za miradi nyie wenzetu mko Cyprus au?

Wakuu huko Cyprus mnakoishi miradi inasonga? 😆😆Kwamba hapa miradi imesimama au?👇



















 
Usitetee uzwazwa hakuna justification ya kujenga madarasa na vituo vya afya kwa pesa ya mkopo miaka 60 ya uhuru. Hii thinking mnayo watu kama nyie wenye akili ya kuvukia barabara.....
 
Tueleze mara ngapi mnasumbiliwa na chuki? Soft loans hata Rais kaeleza juzi kwamba Unapata mkopo wa masharti nafuu ambayo yanaweza kuwa ni kupewa grace period ya kuanza kulipa baada ya miaka 5-10,, repayment period ya miaka 20 au zaidi na inaweza kuwa na riba ndogo ya 3-8% au kusiwe na Riba.

Juzi hapo BADEA wameahidi kutoa mkopo wa til.7 kwa miaka 5 ijayo na hauna riba,utarudishwa kama ulivyo na una mda mda mrefu wa kurejesha.

Tatizo binadamu wa Sasa ni wabishi Sana wakati hamuelewi.Toka enzi za Julius Nchi inakopa,tena Julius alikuwa anakopa anaenda kulisha wanajeshi Uganda, Msumbiji,Angola,South Africa,Namibia, Zimbabwe nk sembuse mama anakopa kuwekeza kwenye miundombinu na human development?
 
Usitetee uzwazwa hakuna justification ya kujenga madarasa na vituo vya afya kwa pesa ya mkopo miaka 60 ya uhuru. Hii thinking mnayo watu kama nyie wenye akili ya kuvukia barabara.....
Nilichoandika kwako unaona sio justification? Jinga Sana wewe ,je zingekopwa kulipia madeni yaliyoiva au zingeliwa ungesemaje?

Hilo bichwa ni bure kabisa,kwanza una watoto/mtoto?
 
Kwanini unadhani napotosha ili iweje? Afadhali ungesema sijui kuliko kutumia maneno yasiyo na staha...Kwanini upanic, si ueleze tu points zako ili raia wote wa elewe?

Huoni kwamba emphasis ni trilioni 1.3 tu huku hizo zingine hazisemwi matumizi yake?
 
Dont lose focus my friend...Kama watu hawaelewi jua tatizo ni la kwako kama mueleweshaji...Once unapo raise your voice jua kabisa unashindwa kutetea hoja yako na badala yake unatumia mi guvu mingi bila maarifa...Kwanini watu wawe na chuki kama wanapata faida?
 
Miaka 60 ya uhuru huwezi kukopa ili ukajenge madarasa na vituo vya afya, labda kama hiyo nchi ni changa......haya kakopeni mkajenge na matundu ya vyoo.
 
Utatukana matusi yote...Tanzania ni ya watanzania hakuna mwenye hati miliki...Huoni soni kila post yako ina tusi...What kind of a humabeing arr you? Huna heshima wala adabu kwa binadamu wenzako...Umelelewa wapi wewe? Nitashangaa kusikia na wewe ni kiongozi...
 
Miaka 60 ya uhuru huwezi kukopa ili ukajenge madarasa na vituo vya afya, labda kama hiyo nchi ni changa......haya kakopeni mkajenge na matundu ya vyoo.
Mbona unanikasirikia mimi bwashee, mbona naona kama mimi na wewe tupo ukurasa mmoja? Jomoni watu mmepanic, why?

Tulieni, tulieni...Nchi ni yetu na tuipende na kuitunza. Hatuna kwetu kwingine, hasira hizi za mkizi tijara ya wavuvi wa dunia ya kwanza
 
Tunakopa halafu tunafanya mambo yasiyokuwa na uwezo wa kurejesha fedha mfano ujenzi wa madarasa, matundu ya choo n.k, hivi ni vitu serikali inaweza fanya kwa hela za ndani

Tujitahidi tufanye pia miradi ya kimaendeleo kama ujenzi wa viwanda, miradi kama ya SGR, kilimo cha biashara n.k
 
Mbona unanikasirikia mimi bwashee, mbona naona kama mimi na wewe tupo ukurasa mmoja? Jomoni watu mmepanic, why?

Tulieni, tulieni...Nchi ni yetu na tuipende na kuitunza. Hatina kwety kwingine, hasira hizi za mkizi tijara ya wavuvi wa dunia ya kwanza
Samahani mkuu, nilikuwa namjibu huyo jamaa anayejitia ujuaji......
 
Takwimu zinaonesha ndani ya mwaka mmoja 2016/2017 magufuli alikopa 13trln sasa sijui mnadhani kuongoza nchi ni sawa na kuongoza kikundi cha walevi
 
Tunakopa halafu tunafanya mambo yasiyokuwa na uwezo wa kurejesha fedha mfano ujenzi wa madarasa n.k

Tujitahidi tufanye pia miradi ya kimaendeleo kama ujenzi wa viwanda, miradi kama ya SGR, kilimo cha biashara n.k
ndo tunachosema hiki, ni bora mikopo itumike kwenye miradi ya kimkakati tu kama SGR, barabara muhimu, installation ya mtandao wa gesi kwa ajili ya kupikia na kwenye magari, bwawa kama stiglaz........na siyo kujenga madarasa na vituo vya afya ambavyo vinaweza kuwa taken care of na bajeti ya serikali......
 
Uwazi wa yale magawiwo ya kwenye madini hauko tena. Laiser wasikiki je mererani imeacha kutema Tanzanite? Kilicho vumishwa ni hiyo sinema loyally tuwaa.
 
Yaani ka panic kama vile sijui nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…