Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, kwa miezi 6 Mama amekopa Trilioni 10, Ndugai yuko sahihi, spidi ya kukopa ni kubwa sana.

Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, kwa miezi 6 Mama amekopa Trilioni 10, Ndugai yuko sahihi, spidi ya kukopa ni kubwa sana.

Kazi ya bunge ni kuishauri na kuidhibiti serikali...yeye kama spika wa bunge kwanini asitumie mamlaka ya chombo chake kuishauri serikali .? Sasa anapokuja kulalamika kwenye vyombo vya habari maana yake bunge lake halina meno?halina mamlaka? Au hajui majukumu yake?
Ni spika dhaifu
 
Miradi imesimama kwasababu hakuna pesa, husikii watendaji wakilalamika? Sgr, brt, upanuzi wa bandari, n.k vyote vimesimama au kufutwa kabisa, Sasa miradi ipi hiyo?
Watendaji wa wapi mbona mimi Niko kwenye mojawapo ya hiyo miradi sijaona uliposimama?

Tumeshamaliza salander,by June tunamaliza Kigongo Busisi,tumezindua brt phase 3,tumezindua reli juzi .Kila wiki TRC na akina Ben Mwanantala wanatoa updates za miradi nyie wenzetu mko Cyprus au?

Wakuu huko Cyprus mnakoishi miradi inasonga? 😆😆Kwamba hapa miradi imesimama au?👇

Screenshot_20211228-125617.png

Screenshot_20211228-125530.png

Screenshot_20211228-125424.png

Screenshot_20211228-125454.png

Screenshot_20211228-124716.png

Screenshot_20211228-124627.png

Screenshot_20211228-123447.png

Screenshot_20211228-123159.png

Screenshot_20211228-122821.png

Screenshot_20211205-200822.png
 
Ndio maana nakwambia wewe ni kenge,unaanza hatua moja baada ya nyingine,hao walimu na watu wa Afya nk wataendelea kuajiriwa kadiri ya pesa inavyopatikana.

Kwa akili yako ya kisoda unadhani hapo ndio mwisho wa kujenga madarasa? Bado yatajengwa.sana tuu hadi population growth itakapoanza kupungua ndio nafuu itapatikana.

Mnapoambiwa mdhibiti uzazi muwe mnaelewa.Zama zimebadilika kama is okey anzisha mtu msomeshe mwanao,unaongea ujinga mwingi.
Usitetee uzwazwa hakuna justification ya kujenga madarasa na vituo vya afya kwa pesa ya mkopo miaka 60 ya uhuru. Hii thinking mnayo watu kama nyie wenye akili ya kuvukia barabara.....
 
Unayejua tufafanulie sisi layman tuelewe, au ni ile Elimu ya kukariri vichwa vya "mabombastic"- lakini unashindwa kuelezea kwa undani - unalikumbuka neno "soft loan" lakini soft loan ni nini hasa! Kwa nini inaitwa soft loan, faida zake ni zipi? Je tofauti na loan zingine ni ipi? Au ni semantics tu!
Tueleze mara ngapi mnasumbiliwa na chuki? Soft loans hata Rais kaeleza juzi kwamba Unapata mkopo wa masharti nafuu ambayo yanaweza kuwa ni kupewa grace period ya kuanza kulipa baada ya miaka 5-10,, repayment period ya miaka 20 au zaidi na inaweza kuwa na riba ndogo ya 3-8% au kusiwe na Riba.

Juzi hapo BADEA wameahidi kutoa mkopo wa til.7 kwa miaka 5 ijayo na hauna riba,utarudishwa kama ulivyo na una mda mda mrefu wa kurejesha.

Tatizo binadamu wa Sasa ni wabishi Sana wakati hamuelewi.Toka enzi za Julius Nchi inakopa,tena Julius alikuwa anakopa anaenda kulisha wanajeshi Uganda, Msumbiji,Angola,South Africa,Namibia, Zimbabwe nk sembuse mama anakopa kuwekeza kwenye miundombinu na human development?
 
Usitetee uzwazwa hakuna justification ya kujenga madarasa na vituo vya afya kwa pesa ya mkopo miaka 60 ya uhuru. Hii thinking mnayo watu kama nyie wenye akili ya kuvukia barabara.....
Nilichoandika kwako unaona sio justification? Jinga Sana wewe ,je zingekopwa kulipia madeni yaliyoiva au zingeliwa ungesemaje?

Hilo bichwa ni bure kabisa,kwanza una watoto/mtoto?
 
Kwanza watu msivyo na akili mnashindwa kuelewa kwamba tozo za miamala zinatakiwa kuingiza bil.500 kwa mwaka yaani hadi mwezi wa 6,,unakusanya unapeleka sio kwamba zipo tayari bali zinategemea transactions..

Hizo tozo zinafanya Kazi ya kujenga vituo vya afya, maji na madarasa,upungufu wa madarasa kwa primary na secondary ni vyumba 10,000 na hadi sasa Sekondari kwa pesa ya uviko wamejenga 3,000 na 1500 kwa primary.Vinavyosalia vitajengwa taratibu kadiri ya upatikanaji wa pesa kwa kutumia tozo.

Tozo ya pili ni mafuta yenyewe ni maalumu kwa ajili ya barabara Vijijini sasa wapuuzi mko busy kupotosha kwa makusudi au hata hamjui mnachoongea.

View attachment 2063707

View attachment 2063708

View attachment 2063709

View attachment 2063710

View attachment 2063711
Kwanini unadhani napotosha ili iweje? Afadhali ungesema sijui kuliko kutumia maneno yasiyo na staha...Kwanini upanic, si ueleze tu points zako ili raia wote wa elewe?

Huoni kwamba emphasis ni trilioni 1.3 tu huku hizo zingine hazisemwi matumizi yake?
 
Tueleze mara ngapi mnasumbiliwa na chuki? Soft loans hata Rais kaeleza juzi kwamba Unapata mkopo wa masharti nafuu ambayo yanaweza kuwa ni kupewa grace period ya kuanza kulipa baada ya miaka 5-10,, repayment period ya miaka 20 au zaidi na inaweza kuwa na riba ndogo ya 3-8% au kusiwe na Riba.

Juzi hapo BADEA wameahidi kutoa mkopo wa til.7 kwa miaka 5 ijayo na hauna riba,utarudishwa kama ulivyo na una mda mda mrefu wa kurejesha.

Tatizo binadamu wa Sasa ni wabishi Sana wakati hamuelewi.Toka enzi za Julius Nchi inakopa,tena Julius alikuwa anakopa anaenda kulisha wanajeshi Uganda, Msumbiji,Angola,South Africa,Namibia, Zimbabwe nk sembuse mama anakopa kuwekeza kwenye miundombinu na human development?
Dont lose focus my friend...Kama watu hawaelewi jua tatizo ni la kwako kama mueleweshaji...Once unapo raise your voice jua kabisa unashindwa kutetea hoja yako na badala yake unatumia mi guvu mingi bila maarifa...Kwanini watu wawe na chuki kama wanapata faida?
 
Kwanini unadhani napotosha ili iweje? Afadhali ungesema sijui kuliko kutumia maneno yasiyo na staha...Kwanini upanic, si ueleze tu points zako ili raia wote wa elewe?

Huoni kwamba emphasis ni trilioni 1.3 tu huku hizo zingine hazisemwi matumizi yake?
Miaka 60 ya uhuru huwezi kukopa ili ukajenge madarasa na vituo vya afya, labda kama hiyo nchi ni changa......haya kakopeni mkajenge na matundu ya vyoo.
 
Watu hawafuatilii taarifa afu wanadakia na kuandika ujinga.Wengine ni kama kina Ndugai utafikiri hawako Tzn maana wanauliza hela imefanya nini sasa kama Ndugai anauliza unategemea wanaoswagwa na upepo itakuaje?

WaTzn wengi wanachojua ni umbea,Yanga na Simba na majungu
Utatukana matusi yote...Tanzania ni ya watanzania hakuna mwenye hati miliki...Huoni soni kila post yako ina tusi...What kind of a humabeing arr you? Huna heshima wala adabu kwa binadamu wenzako...Umelelewa wapi wewe? Nitashangaa kusikia na wewe ni kiongozi...
 
Miaka 60 ya uhuru huwezi kukopa ili ukajenge madarasa na vituo vya afya, labda kama hiyo nchi ni changa......haya kakopeni mkajenge na matundu ya vyoo.
Mbona unanikasirikia mimi bwashee, mbona naona kama mimi na wewe tupo ukurasa mmoja? Jomoni watu mmepanic, why?

Tulieni, tulieni...Nchi ni yetu na tuipende na kuitunza. Hatuna kwetu kwingine, hasira hizi za mkizi tijara ya wavuvi wa dunia ya kwanza
 
Tunakopa halafu tunafanya mambo yasiyokuwa na uwezo wa kurejesha fedha mfano ujenzi wa madarasa, matundu ya choo n.k, hivi ni vitu serikali inaweza fanya kwa hela za ndani

Tujitahidi tufanye pia miradi ya kimaendeleo kama ujenzi wa viwanda, miradi kama ya SGR, kilimo cha biashara n.k
 
Mbona unanikasirikia mimi bwashee, mbona naona kama mimi na wewe tupo ukurasa mmoja? Jomoni watu mmepanic, why?

Tulieni, tulieni...Nchi ni yetu na tuipende na kuitunza. Hatina kwety kwingine, hasira hizi za mkizi tijara ya wavuvi wa dunia ya kwanza
Samahani mkuu, nilikuwa namjibu huyo jamaa anayejitia ujuaji......
 
Kwa miaka 5 na miezi kadhaa, yaani kuanzia 2015 hadi March 2021 Magufuli amekopa kiasi cha Trillioni 36, kwa wastani wa Trillioni 7 kwa mwaka.

Magufuli amefariki March 2021 Deni la Taifa liko Trillioni 72. Kwa muda wa miezi 9, yaani kuanzia March 2021 hadi December 2021 deni la Taifa ni Trillioni 82, kwa maana kwamba kwa miezi 9 mama amekopa Trilioni 10.

Tukienda kwa kasi hii ya mikopo, miaka 4 ijayo mama atakopa Trillioni zaidi ya 50 na kufanya deni la Taifa kufikia Trilioni 120 ama zaidi mwaka 2025.

Ndugai yuko sahihi, spidi ya kukopa ni kubwa sana. Mama hataki kuangalia vyanzo vipya vya kodi, yeye anakimbilia the easy way out, kukopa, kukopa na kukopa.

Hii nchi miaka 60 ya uhuru tunakopa kujenga madarasa, kujenga vyoo kweli? Hata hilo la ujenzi wa vyoo vya shule tunahitaji kukopa? Tukope kufanya vitu vya msingi.

Kuna watu wasema mama ameleta uwazi wa matumizi ya mikopo sio kama Magufuli, naomba tuulizane, kwenye hizo Trillioni 10, tumetangaziwa matumizi ama mgawanyo Trillioni ngapi? Si hizi 1.5 za covid tu za ujenzi wa madarasa? Nyingine 8.5 tunajua zimetumika wapi?
View attachment 2063295
Takwimu zinaonesha ndani ya mwaka mmoja 2016/2017 magufuli alikopa 13trln sasa sijui mnadhani kuongoza nchi ni sawa na kuongoza kikundi cha walevi
 
Tunakopa halafu tunafanya mambo yasiyokuwa na uwezo wa kurejesha fedha mfano ujenzi wa madarasa n.k

Tujitahidi tufanye pia miradi ya kimaendeleo kama ujenzi wa viwanda, miradi kama ya SGR, kilimo cha biashara n.k
ndo tunachosema hiki, ni bora mikopo itumike kwenye miradi ya kimkakati tu kama SGR, barabara muhimu, installation ya mtandao wa gesi kwa ajili ya kupikia na kwenye magari, bwawa kama stiglaz........na siyo kujenga madarasa na vituo vya afya ambavyo vinaweza kuwa taken care of na bajeti ya serikali......
 
Uwazi wa yale magawiwo ya kwenye madini hauko tena. Laiser wasikiki je mererani imeacha kutema Tanzanite? Kilicho vumishwa ni hiyo sinema loyally tuwaa.
 
Boss, Sasa watanganyika wenzetu hawajui kusema au ndo ushabiki wa Simba na Yanga unawafunga macho? Au hata hayo macho hawana? Au kilichopo ndani ya fuvu hakifanyi kazi kabisa?

$2.29bn ni sawa na tzs 1.3t wanazosema ndizo mama kakopa tu? Tena Kuna mwingine kathubutu kumuita mtu Mbuzi kwamba yeye ni mjuaji zaidi, sijui akiona hii atageukaje!
Yaani ka panic kama vile sijui nini!
 
Back
Top Bottom