Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
-
- #21
Lumumba ya baba yakoHivi huko lumumba wewe assignment yako uliyopewa ni kudeal na chadema tu? Maana sjawahi kusoma mada yeyote unayoanzisha tofauti na kuinanga chadema
Mzee wa lumumba, unajifanya kuijali Cdm na mali zake !. Unashindwa kuihami hazina ya taifa, wanakoambiwa wale kwa urefu wa kamba yao ilimradi wasivembewe !!Ofisi nyingi mikoani zimefungwa huku mali nyingi za chama zikiwa hazijulikani zilipo. Tuunde tume ili kujua mali za chama zilipo. Nyingi ya mali za chama zilipotea kuanzia mwaka 2015 baada ya uchaguzi mkuu.
Sio kwamba watu hawaoni wanaona kabisa kuwa mali nyingi zimepotea hovyo hovyo.
Katiba ndio mada waambie waliokutuma na kukulipa 7000Jikite kwenye mada.
na ndiye anaidhinisha hizo buku unazopewaLumumba ya baba yako
Na mimi nakuunga mkono. Chama chetu ni cha "demokrasia" na "maendeleo", sasa hiyo demokrasia iko wapi ikiwa mwenyekiti kaamua kutawala peke yake? Pia hayo maendeleo yako wapi ikiwa chama hakina hata ofisi yake? Nafikiri mleta mada ana hoja ya msingi, japo wapo watakaopingana nae ili kulinda ufisadi mkubwa walioufanya ndan ya chama na wengine watapinga ili kulinda maslahi ya matumbo yao na familia zao. Wanachama tunahitaji katiba mpya itakayomuweka mwenyekiti madarakani kwa miaka kumi ya vipindi viwili vya miaka mitano mitano, pia katiba hiyo iwe na kipengele cha kumuwajibisha mwenyekiti na genge lake muda wowote.Tunataka katiba mpya
Mimi kuibua hoja juu ya mali nimekua mzee wa Lumumba? We Mjaluo una matatizo.Mzee wa lumumba, unajifanya kuijali Cdm na mali zake !. Unashindwa kuihami hazina ya taifa, wanakoambiwa wale kwa urefu wa kamba yao ilimradi wasivembewe !!
Aibu kwenu lumumba
Nitajie hizo Mali zilizopoteaNa mimi nakuunga mkono. Chama chetu ni cha "demokrasia" na "maendeleo", sasa hiyo demokrasia iko wapi ikiwa mwenyekiti kaamua kutawala peke yake? Pia hayo maendeleo yako wapi ikiwa chama hakina hata ofisi yake? Nafikiri mleta mada ana hoja ya msingi, japo wapo watakaopingana nae ili kulinda ufisadi mkubwa walioufanya ndan ya chama na wengine watapinga ili kulinda maslahi ya matumbo yao na familia zao. Wanachama tunahitaji katiba mpya itakayomuweka mwenyekiti madarakani kwa miaka kumi ya vipindi viwili vya miaka mitano mitano, pia katiba hiyo iwe na kipengele cha kumuwajibisha mwenyekiti na genge lake muda wowote.
Huyu siyo mnafiki bali ni mjinga fulani anayejifanya kuwahadaa "members" walioko humu kuwa eti yeye ni kamanda wa cdm, hilo kupe kubwa la ccm.Mnafiki wa mwisho wewe. Umekalia kuisema CHADEMA Kila siku, hakuna siku hata moja umewahi hata kupongeza Jambo moja. Kama unaipenda CCM hamia huko achana na CHADEMA. Ndio maana unalipishwa tozo na kodi, ila uongozi wanapewa watoto wenye nchi.
Tuunde tume kuzibainiNitajie hizo Mali zilizopotea
Wewe unajua nini? Mimi nikuhadae ili iweje? Kusema kweli imekuwa kosa.Huyu siyo mnafiki bali ni mjinga fulani anayejifanya kuwahadaa "members" walioko humu kuwa eti yeye ni kamanda wa cdm, hilo kupe kubwa la ccm.
Ccm wamezoea kuunda tume sisi hatuna haja ya tume ukitaja tu tunakuja kutondoa ujingaTuunde tume kuzibaini
Issue si unachosema(ulichoandika) bali issue ni hypocrisy iliyo katika uwasilishaji wako, unge-hit direct siyo kinafiki kwa kujifanya ni mwenzao.Mimi nasema kweli tu hata wakichukia is up to them.
Unaumwa nonda muheshimiwa.Ni hatari.Unatakiwa uinikwe!Ofisi nyingi mikoani zimefungwa huku mali nyingi za chama zikiwa hazijulikani zilipo. Tuunde tume ili kujua mali za chama zilipo. Nyingi ya mali za chama zilipotea kuanzia mwaka 2015 baada ya uchaguzi mkuu.
Sio kwamba watu hawaoni wanaona kabisa kuwa mali nyingi zimepotea hovyo hovyo.
Non sensical English language. Nimeweka hoja ya msingi tatizo nini?Issue si unachosema(ulichoandika) bali issue ni hypocrisy iliyo katika uwasilishaji wako, unge-hit direct siyo kinafiki kwa kujifanya ni mwenzao.
The majority in this forum are capable of 'reading between the lines', being pretentious doesn't add any value to the post. Be real dude.
Nani?Ni wazo zuri Sana kuanza nalo 2022,maana Mali za chama si za urithi wa bwana yulee.
Kwa kuanzisha mada it means unazifahamu sasa tume ya kuzibaini ya nini, ziorodheshe ili hata kama wataunda tume iwe ni tume ya kujadili mali zilizoorodheshwa kwa kutakuwa na argument solid ya kuiundia tume.Tuunde tume kuzibaini
Chadema ni mali ya ummaKwa kuanzisha mada it means unazifahamu sasa tume ya kuzibaini ya nini, ziorodheshe ili hata kama wataunda tume iwe ni tume ya kujadili mali zilizoorodheshwa kwa kutakuwa na argument solid ya kuiundia tume.
Kama ulichoandika kwa upeo wako ni 'hoja ya msingi' basi yoyote atakayekuchukulia serious atakuwa na matatizo ya akili, nchi yetu bado ina safari ndefu kwa jinsi watu wake wasivyo na uwezo wa kuweka mada zenye mashiko ili zijadiliwe.Non sensical English language. Nimeweka hoja ya msingi tatizo nini?