Kwa miaka mitano kuanzia mwaka 2015 mali nyingi za Chadema yetu zimepotea. Tuunde tume kuchunguza zilipo mali zetu zikiwemo Ford Ranger za M4C

Ofisi nyingi mikoani zimefungwa huku mali nyingi za chama zikiwa hazijulikani zilipo. Tuunde tume ili kujua mali za chama zilipo. Nyingi ya mali za chama zilipotea kuanzia mwaka 2015 baada ya uchaguzi mkuu.

Sio kwamba watu hawaoni wanaona kabisa kuwa mali nyingi zimepotea hovyo hovyo.
Mzee wa lumumba, unajifanya kuijali Cdm na mali zake !. Unashindwa kuihami hazina ya taifa, wanakoambiwa wale kwa urefu wa kamba yao ilimradi wasivembewe !!

Aibu kwenu lumumba
 
Tunataka katiba mpya
Na mimi nakuunga mkono. Chama chetu ni cha "demokrasia" na "maendeleo", sasa hiyo demokrasia iko wapi ikiwa mwenyekiti kaamua kutawala peke yake? Pia hayo maendeleo yako wapi ikiwa chama hakina hata ofisi yake? Nafikiri mleta mada ana hoja ya msingi, japo wapo watakaopingana nae ili kulinda ufisadi mkubwa walioufanya ndan ya chama na wengine watapinga ili kulinda maslahi ya matumbo yao na familia zao. Wanachama tunahitaji katiba mpya itakayomuweka mwenyekiti madarakani kwa miaka kumi ya vipindi viwili vya miaka mitano mitano, pia katiba hiyo iwe na kipengele cha kumuwajibisha mwenyekiti na genge lake muda wowote.
 
Mzee wa lumumba, unajifanya kuijali Cdm na mali zake !. Unashindwa kuihami hazina ya taifa, wanakoambiwa wale kwa urefu wa kamba yao ilimradi wasivembewe !!

Aibu kwenu lumumba
Mimi kuibua hoja juu ya mali nimekua mzee wa Lumumba? We Mjaluo una matatizo.
 
Na mimi nakuunga mkono. Chama chetu ni cha "demokrasia" na "maendeleo", sasa hiyo demokrasia iko wapi ikiwa mwenyekiti kaamua kutawala peke yake? Pia hayo maendeleo yako wapi ikiwa chama hakina hata ofisi yake? Nafikiri mleta mada ana hoja ya msingi, japo wapo watakaopingana nae ili kulinda ufisadi mkubwa walioufanya ndan ya chama na wengine watapinga ili kulinda maslahi ya matumbo yao na familia zao. Wanachama tunahitaji katiba mpya itakayomuweka mwenyekiti madarakani kwa miaka kumi ya vipindi viwili vya miaka mitano mitano, pia katiba hiyo iwe na kipengele cha kumuwajibisha mwenyekiti na genge lake muda wowote.
Nitajie hizo Mali zilizopotea
 
Mnafiki wa mwisho wewe. Umekalia kuisema CHADEMA Kila siku, hakuna siku hata moja umewahi hata kupongeza Jambo moja. Kama unaipenda CCM hamia huko achana na CHADEMA. Ndio maana unalipishwa tozo na kodi, ila uongozi wanapewa watoto wenye nchi.
Huyu siyo mnafiki bali ni mjinga fulani anayejifanya kuwahadaa "members" walioko humu kuwa eti yeye ni kamanda wa cdm, hilo kupe kubwa la ccm.
 
Wewe unajua nini? Mimi nikuhadae ili iweje? Kusema kweli imekuwa kosa.
 
Mimi nasema kweli tu hata wakichukia is up to them.
Issue si unachosema(ulichoandika) bali issue ni hypocrisy iliyo katika uwasilishaji wako, unge-hit direct siyo kinafiki kwa kujifanya ni mwenzao.
The majority in this forum are capable of 'reading between the lines', being pretentious doesn't add any value to the post. Be real dude.
 
Ofisi nyingi mikoani zimefungwa huku mali nyingi za chama zikiwa hazijulikani zilipo. Tuunde tume ili kujua mali za chama zilipo. Nyingi ya mali za chama zilipotea kuanzia mwaka 2015 baada ya uchaguzi mkuu.

Sio kwamba watu hawaoni wanaona kabisa kuwa mali nyingi zimepotea hovyo hovyo.
Unaumwa nonda muheshimiwa.Ni hatari.Unatakiwa uinikwe!
 
Issue si unachosema(ulichoandika) bali issue ni hypocrisy iliyo katika uwasilishaji wako, unge-hit direct siyo kinafiki kwa kujifanya ni mwenzao.
The majority in this forum are capable of 'reading between the lines', being pretentious doesn't add any value to the post. Be real dude.
Non sensical English language. Nimeweka hoja ya msingi tatizo nini?
 
Ni wazo zuri Sana kuanza nalo 2022,maana Mali za chama si za urithi wa bwana yulee.
 
Tuunde tume kuzibaini
Kwa kuanzisha mada it means unazifahamu sasa tume ya kuzibaini ya nini, ziorodheshe ili hata kama wataunda tume iwe ni tume ya kujadili mali zilizoorodheshwa kwa kutakuwa na argument solid ya kuiundia tume.
 
Chadema ni mali ya umma
 
Non sensical English language. Nimeweka hoja ya msingi tatizo nini?
Kama ulichoandika kwa upeo wako ni 'hoja ya msingi' basi yoyote atakayekuchukulia serious atakuwa na matatizo ya akili, nchi yetu bado ina safari ndefu kwa jinsi watu wake wasivyo na uwezo wa kuweka mada zenye mashiko ili zijadiliwe.
Na cha kushanga mtu anayeandika upupu alikaa darasani na akafaulu mitihani, so sad[emoji26][emoji26]
 
Back
Top Bottom