Kwa michezo ya hawa mawakili wa serikali, sio ajabu Tanzania inashindwa kesi za kimataifa mara kwa mara.

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
Wako kisiasa zaidi huku wakicheza na mfumo bila ya kua professional. Kwa mtindo huu, wakienda kwenye chemba za kimataifa ambako watu wako serious na hawapendi kupoteza muda basi hawawezi kutoboa kamwe.

Kama lengo lilikua ni kumpotezea lisu muda, ni bora wangetumia njia nyingine ila si hii inayofanya hadi mahakama kudharauliwa na kuona kuonekana kmaa inaendeshwa kwa nguvu za kisiaa.

I feel sorry for my country.
 
Nafahamu kinachofanyika kwenye mahakama kina haki kama historia. Kama ni nzuri au mbaya basi tena
 
Yule KATUGA sio WAKILI ni Tapeli kama Brother K , ULIKUWEPOOOOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…