Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
MKUU ULIIAGIZIA NJE SIO?Hapati kwa hiyo bei Boss.
Ila ni chuma moja tamu Sana inanipatia hadi 18km per L nikiwa highway huku mitaani ndo naokota 14km per L ngoja niendelee kuitunza initunze😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKUU ULIIAGIZIA NJE SIO?Hapati kwa hiyo bei Boss.
Ila ni chuma moja tamu Sana inanipatia hadi 18km per L nikiwa highway huku mitaani ndo naokota 14km per L ngoja niendelee kuitunza initunze😀
Pacha wake ALPHARDChukua VELLFIRE
Nimetokea kumkubali sanaPacha wake ALPHARD
Aisee...Sasa si ndo anakipokea
Afu anainua mgongo wake kuustopisha na public transport 😂
siku ya kwanza kuendesha Alphard ya jamaa mmoja kanisani nilijisikia burudani sana ,sipatii picha siku nikiendesha discovery 4 😀😀,nitapiga horn njia nzimaNimetokea kumkubali sana
Hii ikoje mkuu naona sana kwenye page zawauza magariChukua VELLFIRE
Ndiyo BossMKUU ULIIAGIZIA NJE SIO?
Outlander bana, haraka hizi kutype🤣🤣🖐️Hii Gari Imetoka Lini??
Crown pia naikubali na imekamilika kila idara ila mfuko boss inahitaji ma Don na wapenda league kama wakina Jemedaree [emoji3][emoji3]
ACHUKUE PREMIO TU mambo ya kuua sterling power na sensor hatayaelewa kama gari yake ni ya kwanzaKaka premio 2007-2012 gari kalii sana
Ukiwa nayo crown atakuzidi performance na comfortability kidogo lkn Reliable haifiki premio hata kidogo,
Natumia crown iko poaa lkn isiwe gari yako ya kwanza
Na piaa hakikisha mfuko haukauki achana na mafuta kidebe we tia full tank mshale ukishuka kidogo ongeza hapo utaenjoy ,service ya oil andaa laki 3 [emoji28](castrol OG 7L+oil filter +air cleaner)
Gari haitaki madimbwi hasa kipindi cha mvua
La sivyo unaua power sterling chap na ma sensor
Otherwise hata mimi namshauri aanze na premio[emoji736]
ACHUKUE PREMIO TU mambo ya kuua sterling power na sensor hatayaelewa kama gari yake ni ya kwanza
Kijana ww maelekezo yapo.Kweli mastaa.Premio for everybody
Nlienda kubadili O2 sensor moja tu
Mpya laki naa +ufundi + diagnosis
Tayari laki 2 chap [emoji28]
Imagine zimezingua zote 4
Not much expensive but better be prepared
Mi naenjoy hizi bill ndogo ndogo fresh tu
Hata Brevis mlianzaga hivi hivi..😂🤣🤣Mafuta jini hilo
carina ti ni nzuri ila ni old fashioned cars haina features za sasa,,gari inategemea na preference piaAchna na hao chukua carina Tx ule maisha
Carina ti ni shilingi ngap mkuuAchna na hao chukua carina Ti ule maisha