Hyo mirad ya maana ndo ipi mkuu?? Taja tufaidike wengiKama Bado upo una fight(umri below 40), nakushauri wekeza utt. Lakini kama una familia na unasomesha, tafuta mradi wa maana.
Nje ya mada...
Anawezaje mtu amiliki 30m kupitia akili isiyoweza kufannya maamuzi magumu? Au ulishinda bahati nasibu?
Jenga nyumba utakula mafao mpaka unazeeka
Nyumba ya kupanga siyo mradi wa kutegemea. Payback period yake ni kubwa, kuwadai Wapangaji Kodi ni stress. Kuna kipindi wapangaji wanaadimika, Gharama za uchakavu nk.Hyo mirad ya maana ndo ipi mkuu?? Taja tufaidike wengi
Kama hutaki stress Jenga nyumba wapangaji si unawapa mikatabaNyumba ya kupanda siyo mradi wa kutegemea. Payback period yake ni kubwa, kudai Kodi ni stress. Kuna kupindi wapangaji wanaadimika. Gharama za uchakavu nk.
Miradi mizuri ni kama kilimo Cha kisasa, ufugaji wa kisasa, biashara ya vipuli vya magari na pikipiki NK
Huu msemo huwa siuelewi. Real estate ndo biashara inayoweza kukupa kipato kizuri na inakufanya ukopesheke kiwepesi sana na taasisi za fedha as long as una mzunguko.Nyumba ya kupanga siyo mradi wa kutegemea. Payback period yake ni kubwa, kuwadai Wapangaji Kodi ni stress. Kuna kipindi wapangaji wanaadimika, Gharama za uchakavu nk.
Miradi mizuri ni kama kilimo Cha kisasa, ufugaji wa kisasa, biashara ya vipuli vya magari na pikipiki NK
Boss, milioni 30 unajenga nyumba ya namna gani, na kwa mji kama wa Dar, ikakamilika kuwa chanzo cha mapato? Eneo lipi?Nyumba za kukodisha na kupanga ni biashara salama kuliko hizo zote ulizotaja.
Upo sawa kuwa 30M ni ndogo kwenye ujenzi kutegemeana na aina ya ujenzi. Ila hiyo ya biashara ni yale yale tu. Hujawahi fanya biashara huna wa kukushika mkono kukuambia pita hapa, kanunue pale, uza hapa kitakachokukuta ni mwishoni huna biashara, huna pesa afadhali hata aliyejenga ikabaki finishi anaweza ingia bank akachukua morgage akamaliza iwapo tu eneo ni zuri kibiashara.Boss, milioni 30 unajenga nyumba ya namna gani, na kwa mji kama wa Dar, ikakamilika kuwa chanzo cha mapato? Eneo lipi?
Fanya uwanja unao tayari, boma unalisimamisha kwa 10m - 12m, ikianza kuongeo kiinglishi tu, 30 imekata na bado hujafikia kupangisha!
Atafute shughuli, awekeze angalau 12m, aone muelekeo, ikitiki, aongeze mtaji
Sio ndgo. Mjini 30 ml unsshusha vyumba vya kupanga. Tuna mifano hai.Upo sawa kuwa 30M ni ndogo kwenye ujenzi kutegemeana na aina ya ujenzi. Ila hiyo ya biashara ni yale yale tu. Hujawahi fanya biashara huna wa kukushika mkono kukuambia pita hapa, kanunue pale, uza hapa kitakachokukuta ni mwishoni huna biashara, huna pesa afadhali hata aliyejenga ikabaki finishi anaweza ingia bank akachukua morgage akamaliza iwapo tu eneo ni zuri kibiashara.
Ok boss, ndo maana nikasema ni ndogo kutegemeana na aina ya ujenzi. Yaani unajenga nini.Sio ndgo. Mjini 30 ml unsshusha vyumba vya kupanga. Tuna mifano hai.
Sio ndogo 30m watu vimeshuka vyumba viwili na sebule, 2Ok boss, ndo maana nikasema ni ndogo kutegemeana na aina ya ujenzi. Yaani unajenga nini.
Upo sawa sikupingi. Nimesema ni ndogo kutegemeana na aina ya ujenzi.Sio ndogo 30m watu vimeshuka vyumba viwili na sebule, 2
Chumba master hata 7
Chumba sebule 4
Wewe unaujua ujenzi kweli wa nyumba za kupanga. Sio nyumba yako. Nyumba za kupanga.
Inatosha sana. No option yako unataka nn.
UTT kwa 30m uwongo. Jenga nyumba. Pambana. Alafu hela peleka sasa utt.
Nadhani anahitaji uwekezaji sio miradi. Na miradi uliyotaja hapo kasoro ya vipuli, kilimo na ufugaji ni stress tupu na career mpya kabisa ambayo hana. Sasa sijui unataka aache kazi iliyompa hizo 30M ndio aanze kujifunza hizo.Miradi mizuri ni kama kilimo Cha kisasa, ufugaji wa kisasa, biashara ya vipuli vya magari na pikipiki NK