Kwa milioni 4 ninunue gari gani iliyotumika?

Kwa milioni 4 ninunue gari gani iliyotumika?

Kajeba

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2020
Posts
1,057
Reaction score
2,364
Wakuu
Nimejichanga sana mpaka kufikisha kiasi cha milion 4 kwa lengo la kununua gari ambayo haitanipa mzigo katka kulihudumia hapa jijini

Kipato kwa mwezi hakipungui laki 6 hakizid laki 8, gari nalihitaji kwa ajili ya mizunguko binafsi hivyo naombeni ushauri ipi itanifaa kwa movement kutoka home kwenda kazini na kurudi.
 
Wakuu
Nimejichanga sana mpaka kufikisha kiasi cha milion 4 kwa lengo la kununua gari ambayo haitanipa mzigo katka kulihudumia hapa jijini

Kipato kwa mwezi hakipungui laki 6 hakizid laki 8,,
Gari nalihitaji kwaajili ya mizunguko binafsi hivyo naombeni ushauri ipi itanifaa kwa movement kutoka home kwenda kazini na kurudi
Hizi ni ndoto nyingi za masikini
Unanunua gari ili uwe unawahi kazi za bosi wako.
Badala ya kuinvest
 
Kama kazi ni mizunguko tu, nunua hiyo vitz, lakini kama utakuwa unahitaji kwenda site au sehemu yenye barabara mbaya, tafuta mbadala..
Kwenye, 4m tafuta gari ya 3m.. hiyo 1m ni marekebisho, hakuna gari ya mkononi nzima.
 
Back
Top Bottom