- Thread starter
- #41
Asante sana mkuuMtu kaomba ushauri wa gari wewe unamwambia awekeze! Awekeze kwenye nini? Wapi?
Juzi kuna mtu kashusha uzi hapa kajichanga kaenda mbeya kununua mchele kauleta dar hana pa kuuza, watu wanampa bei za hasara!
kama hujui gari la m4 atakalomudu kwa kipato chake kalisha masaidongi!!!
Gari zipo nyingi tu mkuu, nakushauri uwe na fundi wako akusaidie ukaguzi kabla hujafanya malipo.