Hamumu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 1,439
- 3,587
Itoshe kusema kuwa ww n maskini wa kifikra.Ondokaneni kwanza na mawazo ya kimaskini kwamba kumiliki gari ni anasa maana kwa mawazo haya hata pikipiki mtasema awekeze kwanza kadhalika hata baskeli mtasema awekeze kwanza baadae hata kununua viatu mtataka ajiwekeze kwanza , maisha ya dunia ni mafupi sana usijipe tabu na mateso eti kisa ujiwekeze, kila kitu kina umuhimu wake katika maisha uhitaji wa gari si sawa na uhitaji wa pesa za kujiwekeza kadhalika si sawa na uhitaji wa nyumba nk. kina Mengi wamejiwekeza weeee lakin wamewaachia kina jacklyne ambao hata hawajui mengi kapambanaje ishi kwa furaha na upe raha uzima wako lililo ndani ya wakati wako lifanye.
Kisa nini kuambukizana vikwapa na TB na kusimamishwa kwenye public cars pamoja na kutukanwa na makondakta walevi hovyo hovyo wakati uwezo wa kuwa na usafiri wako wa kawaida na ukasafiri confortable na familia yako unao? Uzuri zipo gari kulingana na hali ya yeyote yule mwenye nia ya kumiliki gari. Kama uwezo wako ni wa kuimudu vits au starlet basi usihangaike na harrier au vanguard hivyo tu
Ndio mana hata viatu kuna anae vaa yebo ya tsh 3500 na kuna naye vaa viatu vya PVC tsh.6,500 lakin pia yupo anaye vaa safari boot Tsh. 70,000/= lakin yupo anaye vaa CAT Tsh. 250,000/= lakib mwisho wa siku kila mtu kavaa kiatu cha nafasi yake.
Af em jaribu kuondoa lile wazo la kuwa hata uwekeze utakufa na kuviacha kama ulivyomtolea mfano Mengi....
Jiulize kwanza Mengi amezifaidi vp mali alizojilimbikizia kabla ya umauti wake.
What if asingewekeza akiwa na mawazo hasi kama yako.....
Sio mengi peke yake..... Angalia watu wengine waliofanikiwa kimaisha. Waliwekeza kwa kile kidogo walichokuwa nacho, kikawa kikubwa and wakaishi maisha wanayotaka.
Turud kwa mwenye huu uzi....
Kipato chake per month n laki 6 hadi 8, then ako na 4 millions kama bajeti ya gari.....
Wengi mtapingana na mimi lkn kuna jambo haliko sawa.
Hapa ntabishana na waajiriwa serikalini, lkn kwa mjasiriamali or mfanyabiashara anaelewa nnachozungumzia hapa n nn.
Mfano rahisi ni huu hapa....
Diamond platinumz alikuwa na uwezo wa kumiliki Rolls Loyc hata kabla ya Ginimbi...
Badala yake pesa hio alitumia kutengeneza mifumo mbalimbali itakayompa pesa zaidi mbali na sanaa anayoifanya. Pesa imezaa na amemiliki ndiga ya gharama kiasi kile. Wakati huo ashaitengenezea pesa mikondo kadhaa.
Then simpangii mtu namna ya kuishi, ila nmefanya kumshauri tu.
polokwane ungekuwa ww n MO ungeshanunua ndege yako binafsi kwa mawazo yako ya "kwann niteseke na foleni wakati pesa yakununua plane ninayo".
Soma reply ya igogondwa na Rusumo one #78 na #79 respectivelly.
Amka polokwane
Imagine " Una gari af kipato chako n laki nane kwa mwezi" inasound vp hio...
Unataka kuonekana tajiri, badala ya kuwa tajiri.