Kwa milioni 4 ninunue gari gani iliyotumika?

Hizo gari huwa zinashida gani mpaka bei zake ziwe chini hivyo
Shida ni mahudhurio ya sheli tu boss! Hamna kingine yani...

Wakati mwenzio mwenye vits ama ist akienda na elfu 50 sheli atatembea week nzima kwenda kazini na kurudi, wewe mwenye Brevis siku ya 3 tu itakulazimu ukaweke tena ya elfu 50 wakati unarudi kuelekea kwako maana taa ya kudai mafuta itakuwa ishawaka.

Hilo tu ndilo linafanya gari hizo ziuzwe bei ya mtori mkuu! Ila kwa uzuri na build quality brevis ni gari zuri sana.
 
Shukrani sana mkuu
 
Tafuta Passo uenjoy mafuta
Passo ni gari nyie ninemiliki gari ndogo kadhaa ila nimestack kwenye passo nliyonayo ni ya 2 nayo karibu naiuza maana mm ni mtu wa safarisafari sana so huwa nasafiri nayo ikifika 160000km nauza
 
Mkuu ww hujielewi mkuu, laki 6 hadi 8 kwa mwezi af n mwanaume mkuu, hela ya unyunyu kabisa ndo unaishi nayo... Af unataka gari, doh, mkuu demu wako tutamla sana mkuu
Acha kejeli kwenye uzi wa wenzako, unajuaje kama hajajipanga ndio maana anaomba ushauri anunue gari? Hata dem wako ataliwa tu hata kama unahela, unaweza ukawa una hela alafu nguvu za kiume huna [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu kaomba ushauri wa gari wewe unamwambia awekeze! Awekeze kwenye nini? Wapi?
Juzi kuna mtu kashusha uzi hapa kajichanga kaenda mbeya kununua mchele kauleta dar hana pa kuuza, watu wanampa bei za hasara!

kama hujui gari la m4 atakalomudu kwa kipato chake kalisha masaidongi!!!

Gari zipo nyingi tu mkuu, nakushauri uwe na fundi wako akusaidie ukaguzi kabla hujafanya malipo.
Huu ndio ushauri sasa sio mtu anakurupuka oooh invest utafikir yeye ka invest nini, hapo usikute anategemea boom hana kitu kama mimi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema mkuu nafurahi unavojua kuwapa za uso watu wenye tabia za Kiswahili ...Bongo bhana mtu anaomba ushauri we badala ya kumpa anachohitaji unajitia ujuaji..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watu mana leta mambo ya kiswahili Sana a nataka Gari kwajili ya mizunguko yake....
. Wew unapo mwambia awekezee au sijuh asinunue humtendei haki..

Mpe mchaango wako kama vile yeye a nataka....

Huwez kaa kimya. Kijifanya we ndio unajua vingi ni u bwege mwngine tuu
 
Acha kejeli kwenye uzi wa wenzako, unajuaje kama hajajipanga ndio maana anaomba ushauri anunue gari? Hata dem wako ataliwa tu hata kama unahela, unaweza ukawa una hela alafu nguvu za kiume huna [emoji23][emoji23][emoji23]
Imenibidi nicheke [emoji23][emoji23][emoji23].

Umeeleweka Grau
 
Mtu kaomba ushauri wa gari wewe unamwambia awekeze! Awekeze kwenye nini? Wapi?
Juzi kuna mtu kashusha uzi hapa kajichanga kaenda mbeya kununua mchele kauleta dar hana pa kuuza, watu wanampa bei za hasara!

kama hujui gari la m4 atakalomudu kwa kipato chake kalisha masaidongi!!!

Gari zipo nyingi tu mkuu, nakushauri uwe na fundi wako akusaidie ukaguzi kabla hujafanya malipo.
GT
 
Hakufanya research yake vizuri alitakiwa ajifunze hapo kwanini anapewa bei ya chini hizo ndio challenges za biashara sio kukimbilia kununua gari

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom