Dar hakuna shamba dogoNunua pawatila
Asante mkuuHongera Sana Pata Mazda Wagon Utembee Umekaa
Mkuu cheki na vitz zile model ya zamani unapata kwa hela hiyo lakini pia mafuta hakata kusumbua.Asante mkuu
Hizi ni ndoto nyingi za masikiniWakuu
Nimejichanga sana mpaka kufikisha kiasi cha milion 4 kwa lengo la kununua gari ambayo haitanipa mzigo katka kulihudumia hapa jijini
Kipato kwa mwezi hakipungui laki 6 hakizid laki 8,,
Gari nalihitaji kwaajili ya mizunguko binafsi hivyo naombeni ushauri ipi itanifaa kwa movement kutoka home kwenda kazini na kurudi
Hongera Sana Pata Mazda Wagon Utembee Umekaa
Tafuta uzungushe za kwakoZugusha hio pesa magari yapo mengi utanunua baadae
KabisaAtembelee matako
Wewe ni tajiriHizi ni ndoto nyingi za masikini
Unanunua gari ili uwe unawahi kazi za bosi wako.
Badala ya kuinvest
Mkuu tengeneza ya kwako@Kajeba zingatia hili.
Laki 6 had 8 kwa mwezi haitoshi, tengeneza scale nyngne uongeze kipato kupitia io 4miln
Mkuu wewe hujielewi mkuu, laki 6 hadi 8 kwa mwezi af ni mwanaume mkuu, hela ya unyunyu kabisa ndo unaishi nayo... Af unataka gari, doh, mkuu demu wako tutamla sana mkuuMkuu tengeneza ya kwako
Huwezi nipangia bajeti,, hapo umeulizwa usafiri gani ninunue