Kwa milioni 4 ninunue gari gani iliyotumika?

Aisee hapo tafuta Corolla ya milioni 2..utapata namba A..then hiyo mbili iliyobaki weka standby ya kuhudumia gari mpaka uizoee milio yake na ujue namna ya kuishi nayo..!
[emoji2][emoji2][emoji2]humu watu mnavituko sana
 
Endelea kukaa kwa mume wa dada yako

Wewe pesa bado huijui, nakukumbusha hii ndio mida ya kufunua hotpot rudi fasta usijechelewa
[emoji23][emoji23] mwanaume wa dar aliyekariri maisha..

Sawa... Kwa hio mil 4 nunua gari af baada ya miez sita ulete mrejesho.....

Niamini mimi, hautokaa uenjoy hata hzo misele.
Utazifaham gereji zote and lastly utaiuza kama screpa...

Hakuna gar ya mil 4 ya misele. Ushamba wako tu unakuunguza mkuu.
 
Aisee gari za misele za bei hiyo zipo nyingi tuu.. Unachotakiwa ni kujua wapi utazipata..!
Kuna watu gari wanauza wamekosa sehemu ya kupaki.. Wengine wamekosa muda wa kuziendesha.. Ila gari ni nzima misele unapiga na heshima unapata..!
Kutokujua kusikufanye useme Hakuna..!
 
Milioni 4? You can't be serious!
 
Bajaji tvs
 
Gari zipo hata za 2 millions mkuu... Lkn usitegemee ikawa n nzma.
 
Gari zipo hata za 2 millions mkuu... Lkn usitegemee ikawa n nzma.
Aisee hapo ndio unapokosea.. Hakuna bei ya kukupa uzima wa gari ya mtumba.. Unaweza kulipa milioni 500 ila kwa kuwa unataka gari ambayo mpya inauzwa Billion 7(Bugatti Chiron Super Sport) utaishia kupata gari mbovu hata kama umelipa milioni 500..Kwahiyo kwa vigezo vya Corolla namba A million 2 ni gari nzima kabisa..!
 
Mtu kaomba ushauri wa gari wewe unamwambia awekeze! Awekeze kwenye nini? Wapi?
Juzi kuna mtu kashusha uzi hapa kajichanga kaenda mbeya kununua mchele kauleta dar hana pa kuuza, watu wanampa bei za hasara!

kama hujui gari la m4 atakalomudu kwa kipato chake kalisha masaidongi!!!

Gari zipo nyingi tu mkuu, nakushauri uwe na fundi wako akusaidie ukaguzi kabla hujafanya malipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…