Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
Wakuu, nipo Kigoma town, changamoto iliyopo hapa ni purchasing power ni ndogo, watu ni wachache kwahiyo mzunguko sio mzuri sana, Mimi ni mtumishi wa umma.
Idea nilikua nayo kama 3.
1.phone accecories
Huku charge wanauza 8000, protector 5000, n.k bei zipo juu kweli kweli, niliwaza kufanya hii biashara changamoto ni moja kuanza kutafuta vibali,frame,n.k huu mtaji utapungua sana, then hii biashara inahitaji muda ianze kuchangamka.
2.dagaa wa Mwanza
Iko vizuri changamoto ni kupata mtu wa kunitumia mzigo kutoka visiwani, uaminifu hakuna.
3.Nafaka
Hii ndio ninayoiwaza kwa sasa, changamoto moja pia ni kupata frame Sehemu nzuri, nilipanga nituchukue mchele pamoja na maharage kwa kuanza, yaani niwe na duka ambalo linatoa huduma hizo, changamoto ndio hiyo hiyo, purchasing power ni ndogo alafu oiaywafanyabiashara ni weengi.
Nipeni mawazo kwa hii short term project yangu, Sehemu iliyochangamka sana ni kasulu changamoto ni usimamizi kasulu ni wilaya nyingine nikiweka mbali, hiyo hela nitakua nimetoa sadaka tu.
Nipeni mawazo wakuu.