Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
Ndio mkuuFirst of all ni hela ya mkopo au
Watakukatisha tamaa kisa ni ya mkopoNdio mkuu
Duh sasa mitaji tutapata wapi mkuuWatakukatisha tamaa kisa ni ya mkopo
Ndio nami swali langu. Hakijibu ndio tumpe ushauri.First of all ni hela ya mkopo
First of all ni hela ya mkopo au
Dagaa wa mwanza wananunuliwaje huko mkuu?Wakuu, nipo Kigoma town, changamoto iliyopo hapa ni purchasing power ni ndogo, watu ni wachache kwahiyo mzunguko sio mzuri sana, Mimi ni mtumishi wa umma.
Idea nilikua nayo kama 3.
1.phone accecories
Huku charge wanauza 8000, protector 5000, n.k bei zipo juu kweli kweli, niliwaza kufanya hii biashara changamoto ni moja kuanza kutafuta vibali,frame,n.k huu mtaji utapungua sana, then hii biashara inahitaji muda ianze kuchangamka.
2.dagaa wa Mwanza
Iko vizuri changamoto ni kupata mtu wa kunitumia mzigo kutoka visiwani, uaminifu hakuna.
3.Nafaka
Hii ndio ninayoiwaza kwa sasa, changamoto moja pia ni kupata frame Sehemu nzuri, nilipanga nituchukue mchele pamoja na maharage kwa kuanza, yaani niwe na duka ambalo linatoa huduma hizo, changamoto ndio hiyo hiyo, purchasing power ni ndogo alafu oiaywafanyabiashara ni weengi.
Nipeni mawazo kwa hii short term project yangu, Sehemu iliyochangamka sana ni kasulu changamoto ni usimamizi kasulu ni wilaya nyingine nikiweka mbali, hiyo hela nitakua nimetoa sadaka tu.
Nipeni mawazo wakuu.
Kweli aisee, uoga wa kupoteza hela siunaelewa?πππ mkuu huu ni mwaka wa ngapi unaombaga tu ushauri wa biashara unaplan biashara ya phone accessories haujaanza tu???
Achana na hii biashara ya kuomba omba ushauri daily, hapo ulipo kafanye kuzunguka maduka ya biashara hiyo uliza uliza nini kinatoka haraka na bei zake, tafuta location nzuri mcheki dalali akupe chumba....
Mtumishi haushindwi kujipa off ya siku mbili zama kariakoo funga mzigo anza biashara. Inaonekana una uoga sana
Hii shida kubwa sana ya watumishi....kama unaogopa kiasi hicho biashara utafanya kweli??? πKweli aisee, uoga wa kupoteza hela siunaelewa?
Fanya utafiti retailers wananunua hizo accessories kwa bei zipi then tafuta machimbo dar uwauzie jumla sana sana online business usifungue frem kubwa fungua kadogo tu weka mzigo mdogo mno ili makisio yasiwe makubwa then mzigo mkubwa weka home au kwenye chamber uwe unauza jumlaWakuu, nipo Kigoma town, changamoto iliyopo hapa ni purchasing power ni ndogo, watu ni wachache kwahiyo mzunguko sio mzuri sana, Mimi ni mtumishi wa umma.