Kwa miongo ulioishi Duniani umejifunza nini?

Jali sana maisha Yako binafsi hususani afya
Kama unaweza ishi bila stress basi ishi mengi unayohofia Kila kukicha yanaondoka yenyewe
 
Live life to the fullest....for tomorrow might never be ( Ishi maisha kadri uwezavyo maana kesho inaweza isiwepo)
 
Sijali watu wala sipendi mtu yeyote kwa sababu asilimia kuwa ya watu wana upendo wa kinafki .
Naunga mkono...Binadamu hawana wema,binadamu hawana shukrani..(SHUKRANI YA PUNDA NI MATEKE).
Tena ni heri adui kuliko rafiki anaye igiza upendo kumbe moyoni hapendi kuoona unafanikiwa .
 
Usimwage dam isyo na hatia na usimshuhudie mtu uongo au dhulumu haki ya mtu kwa sababu zako binafsi
 
1. Maisha ni siri, ficha mambo yako
2. Wajue watu waliokuzunguka ki undani, wasome matendo yao na maneno yao
3. Jijue vema, jua wapi hupatia na wapi huchemka
4. Love is a scam! Tumia mda na raslimali kidogo sana huko
5. Kuwa serious, bila ku focus utapoteza mda na utapoteana
6. Kuwa mbunifu, thubutu kufanya mambo mapya kadri uwezavyo
7. Acha woga, woga wako ndo umaskini wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…