Kwa mkupuo, Twitter imeverify account za Watanzania zaidi ya 6

Itakuwa Twitter wameamua kuzipita manually hizo accounts maana zimepitia sana misukosuko.
Kuna takataka zinakula Kodi ya walalahoi zimejifungia huko maofisini kazi yao ni ni Kubofya REPORT ACCOUNT kwa hisani ya Jiwe 🐍🐍

Kigogo ameshakuwa restricted zaidi ya mbili.
 
Jimbo la twita lazima mshinde tu! Kesho tar 28 tunaenda kuwafanya kitu mbaya hamta sahau! Kura zote kwa ccm
 
Nilishaacha kuthamini hizo verifications baada ya kuona hadi uncle shamte yuko verified huko Instagram
Tick tafsiri yake hiyo ndiyo akaunti rasmi ya mhusika.

Mfano ukisachi, Uncle Shamte watakuja wangapi ?

So, hiyo tick inapunguza migogoro, utapeli na lawama.
 
Nimeanza kuamini wazungu wana AGENDA ya siri na Tanzania hivi inakuaje unaverify account za wanaharakati uchwara tu? kibaya zaidi wanatumia fake names
 
Mi nimeandika barua mara 3 kuomba verification Twitter lakini hawajanijibu. Halafu wanawapa hawa wanaharakati vilaza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…