Kwa mkupuo, Twitter imeverify account za Watanzania zaidi ya 6

VPN ipo, labda kama unamaanisha huenda isipatikane kwa Twitter yenyewe kufa/kufunga shughuli zake duniani!

Kupatikana nikimaanisha normal accessibility localy kwa watumiaji wa kawaida. Na wakiona inafaa, hata internet nayo inaweza kuadimika.
Rejea baadhi ya chaguzi za Afrika.
 
sasa Kigogo wameverify kama nani,maana verification si ni kumbainisha mtu uhalisia wake na identity yake?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimefurahi sana yaani,kwa sababu TISS karata yao ya mwisho kwa kigogo ilikuwa ni kutafuta mbinu za hovyo za kususpend account ya jamaa!
 
Kupatikana nikimaanisha normal accessibility localy kwa watumiaji wa kawaida. Na wakiona inafaa, hata internet nayo inaweza kuadimika.
Rejea baadhi ya chaguzi za Afrika.
Ndo maana nikasema VPN ipo kwa hiyo normal inaccessibility, tatizo linaweza kuwa kwenye hilo la intanet!
 
Waverify wasiverify kesho Tundu Lissu OUT kubwa na huyo Maalim Seif wake ambaye leo ameenda kupiga kura wakati ni kinyume na sheria.
 
Waverify wasiverify kesho Tundu Lissu OUT kubwa na huyo Maalim Seif wake ambaye leo ameenda kupiga kura wakati ni kinyume na sheria.
Kuua watu ndo mbinu ya mwisho ya viongozi waliokosa vibali machoni pa wananchi. Meko na CCM mmekosa kibali cha watanzania.CCM wana hofu kuu.Imagine wanaua watu,wamezima whatsapp call,nasikia leo saa sita mchana bank zinapigwa pini,wamezima twitter,wamezima instagram,wamezima facebook,wanazuia SMS,etc.Hii ni hofu ya kukataliwa na wananchi.Hizi ni dalili kuwa CCM imeshashindwa kabla hata ya kura kupigwa.
 
Kwani kuna ubaya gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…