Kwa mlio karibu na Kibu Denis mpeni taarifa hii muhimu

Kwa mlio karibu na Kibu Denis mpeni taarifa hii muhimu

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,151
Reaction score
3,493
Sio kweli kuwa Kibu Denis ni mchezaji wa kawaida ndani ya Simba, Kibu ni lulu ya thamani kubwa ndani ya Simba ndio maana mpaka leo hii Simba wanambembeleza.

Mimi naungana na Kibu, tumuache kijana asake maisha popote, asipopiga pesa nzuri sasa hataweza tena kupiga pesa nzuri huko mbeleni kupitia soka.
 
Kwa takwimu zipi wewe uto ?
 
Mwambieni yeye ni mchezaji wa kawaida sana ,anachofanya ni kuharibu carrier yake .

Mmwambie pia mashabiki tulishangaa sana kwanini aliongezewa mkataba mbali na kuwa na mchango mdogo sana kwenye timu , kama atarudisha hela na kuondoka tutashukuru sana

Ni hayo tu
Kiendacho kwa sangoma hakirudi. Tshs 400m hazirudiii. Ni mtaji wake huko ughaibuni
 
Acha wampoteze ameanza kuota mapembe.
Ujinga wa kubembeleza wachezaji Simba hatuna
1706701034523.jpg
 
Back
Top Bottom