Kwa mlio karibu na Kibu Denis mpeni taarifa hii muhimu

Kwa mlio karibu na Kibu Denis mpeni taarifa hii muhimu

Mechi 20 goli moja akajiona na yeye ni wa muhimu .
 
Mwambieni yeye ni mchezaji wa kawaida sana, anachofanya ni kuharibu carrier yake.

Mmwambie pia mashabiki tulishangaa sana kwanini aliongezewa mkataba mbali na kuwa na mchango mdogo sana kwenye timu, kama atarudisha hela na kuondoka tutashukuru sana.

Ni hayo tu.

Pia soma=> Simba kumchukulia hatua za kinidhamu Kibu Denis kwa kutokuripoti kambini
Alikuwa na chango mdogo kwenye timu tena..!!??? Si mlikuwa mnamwita MKANDAJI..!!?? Sasa mkandaji anakuwaje na mchango mdogo kwenye timu.!? Mbumbumbu FC a.k.a Makolo, a.k.a Ngada FC, a.k.a Nguruwe FC mna shida sana..!!
 
Tulia wewe
 
Akimbie tu

wacheze wakina balua na chasambi

Naomba mumwambie asigeuke nyuma
Hizo hela walizompa mafala asirudishe abaki nazo

Haiwezekani mtu ana goli moja whole season as a winger mnampa mkataba wa 400million
Unadhani amechukua zote yeye. Usikute amakula 50 milioni tu hapo. Ameamua kuwakomoa watu.
 
Back
Top Bottom