Kwa takwimu zipi wewe uto ?Sio kweli kuwa Kibu Denis ni mchezaji wa kawaida ndani ya Simba, Kibu ni lulu ya thamani kubwa ndani ya Simba ndio maana mpaka leo hii Simba wanambembeleza.
Mimi naungana na Kibu, tumuache kijana asake maisha popote, asipopiga pesa nzuri sasa hataweza tena kupiga pesa nzuri huko mbeleni kupitia soka.
Kiendacho kwa sangoma hakirudi. Tshs 400m hazirudiii. Ni mtaji wake huko ughaibuniMwambieni yeye ni mchezaji wa kawaida sana ,anachofanya ni kuharibu carrier yake .
Mmwambie pia mashabiki tulishangaa sana kwanini aliongezewa mkataba mbali na kuwa na mchango mdogo sana kwenye timu , kama atarudisha hela na kuondoka tutashukuru sana
Ni hayo tu
Hivi anavuta?Yani anapotea maskini..kichwa kimejaa bange....
Nimewaza tuuu...ππHivi anavuta?
Watuachie Kibu D.Nimewaza tuuu...ππ
tuliene wana simba yule ndio mchezaji wenu bora msimu ulioisha hilo halipingiki kwa wanaojua boli.Yani anapotea maskini..kichwa kimejaa bange....
Bange ya wapi Arusha, Moro au Mbeya?Yani anapotea maskini..kichwa kimejaa bange....
Acha wampoteze ameanza kuota mapembe.
Ujinga wa kubembeleza wachezaji Simba hatuna
Chama hana mbio