Kwa mlio karibu na Kibu Denis mpeni taarifa hii muhimu

Daa muda unaenda fasta sana. Yaani mchezaji mwenye goli 1 msimu mzima naye anadengua. Huyu anatakiwa asipige hata simu 1 na viongozi. Aachwe tu
 
Nipo vizuri sanaa. Kibu kutorokea Ughaibuni si kwamba anakwenda kucheza mpira,HAPANA. Anakwenda kutafuta maisha yake nje ya mpira. Kumbuka huyu kijana ana uzoefu wa Ukimbizi. Hababaishwi na hilo.
Kaumri nako kamekwendakwenda. Ana zaidi ya miaka 32 kwa sasa
 
😆
 
Kibu kaenda majaribio, mpango wake ni akifuzu majaribio avute mkwanja na kuwarejeshea simba 300m zao...hapo ndo kivumbi kitatimka, ngoja niagize popcorn.
 
Aahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…