FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Daaah, kwahiyo ujazaji wa bwawa utaanza lini, na unakwamishwa na nini hasa?Hakuna cha crane wala bibi yake crane, zile zilikuwa blah blah za upigaji wa ngedere wa kijani.
Inatengenezwa kwa specification halafu ni ya kukodi? Kalemani hakujua kwamba hili winchi linahitajika kutengenezwa hadi asema bwawa linajazwa Nov.15? Hivi unakodi vipi kitu ambacho kiko taylor made kwa ajili yako?Iko kiwandani inatengenezwa kulingana na specification zilizotumwa.
Aaagh, sasa Makamba si kasema milango ipo tayari, ila winchi tu ndio shida, na linatoka nje ya nchi? Mbona mnatuchanganya lakini?!Mkuu usipojua kinaendelea nini huko Stiglaz, unaonekana irrelevant.
Crane haihitajiki kule, na kinachosubiriwa ni mageti ya kuzuia maji, na hilo halijazuia kazi ya ujenzi wa bwawa kuendelea.
Kwa bahati nzuri mimi nimefika Stiglaz na kuona maendeleo ya kazi.Aaagh, sasa Makamba si kasema milango ipo tayari, ila winchi tu ndio shida, na linatoka nje ya nchi? Mbona mnatuchanganya lakini?!
Sasa unaomba isifanikiwa kwa manufaa au hasara ya nani??? Mkulima unaomba mvua isinyeshe kisa umegombana na mfugaji...!!!Tangu mwanzo huu mradi ulikuwa Batili na hautawahi kufanikiwa. Na si huu mradi pekee bali miradi yote inayoanzishwa na CCM . Inaanzishwaga mahsus na maksud kwa ajili ya upigaji.
Sawa, ila hizo mashine hata zikifungwa zitaendeshwa na nini?! Si ni maji, sasa hayo maji si inabidi yajazwe, ndio tukaambiwa kujazwa ni hadi hilo crane lije ndio maji yajazwe, sasa Crane liko wapi?!Kwa bahati nzuri mimi nimefika Stiglaz na kuona maendeleo ya kazi.
Pressure ya kazi haipo kwenye kuzuia maji ili kutengeneza bwawa, pressure iko katika kuinua tuta la bwawa (Dam) na kujenga powerhouse itakayofungwa mitambo 9(turbines), kila turbine ikiwa na uwezo wa kufua umeme 235MW, au kwa turbine zote 9 , umeme utakaofuliwa ni 2115MW.
Haya masuala ya crane ni hype ya waandishi wa habari ambao hawana idea nini kinaendelea.
Muda wa kusimika hayo magate ya kuzuia maji haujafika.Sawa, ila hizo mashine hata zikifungwa zitaendeshwa na nini?! Si ni maji, sasa hayo maji si inabidi yajazwe, ndio tukaambiwa kujazwa ni hadi hilo crane lije ndio maji yajazwe, sasa Crane liko wapi?!
Maji yanaweza kujazwa hata kwa muda wa miaka miwili, sio kwamba yanajazwa leo kesho yamejaa; anyway, mimi ninachotaka kujua, hilo Crane liko wapi ili tuanze kujaza maji hilo bwawa? Wameliagiza sayari ipi? Jupiter au Mars?Muda wa kusimika hayo magate ya kuzuia maji haujafika.
Kama nilivyosema huko nyuma Power house ya mitambo haijakamilika sasa maji ya nini muda huu?
TATIZO fedha mwingine yote ni majibu ya kihuni tu serikali inajaribu kuficha aibu ...Nani atafunga hayo magari Arabu contractors au local enginee