Isifanikiwe tuuuu kwasabab itatuletea laana vizazi na vizazi vijavyo maamaeSasa unaomba isifanikiwa kwa manufaa au hasara ya nani??? Mkulima unaomba mvua isinyeshe kisa umegombana na mfugaji...!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isifanikiwe tuuuu kwasabab itatuletea laana vizazi na vizazi vijavyo maamaeSasa unaomba isifanikiwa kwa manufaa au hasara ya nani??? Mkulima unaomba mvua isinyeshe kisa umegombana na mfugaji...!!!
Huna akili pimbiTangu mwanzo huu mradi ulikuwa Batili na hautawahi kufanikiwa. Na si huu mradi pekee bali miradi yote inayoanzishwa na CCM . Inaanzishwaga mahsus na maksud kwa ajili ya upigaji.
Pumbavu umejaa makamasi kichwaniIsifanikiwe tuuuu kwasabab itatuletea laana vizazi na vizazi vijavyo maamae
Yaache yaendelee na midomo midomo Yao sisi tuko Mezani tunavunja mifupaLinatoka Bukoba kwa wahaya yaani nshomile, litapita Uganda, Kenya halafu hukooo kwenu, tatizo mmeshaanza kuleta vi mdomo mdomo eti mna crane hadi za Tani 90, tunapanga majibu ya kuwapa na kundi la watu wa kushangilia majibu yetu, yule jamaa yenu si alishakufa, Sasa acha tule nchi huku mnatushangilia, mmeelewa
Bro usitoe lawana bila utafitiHakuna cha crane wala bibi yake crane, zile zilikuwa blah blah za upigaji wa ngedere wa kijani.
Hili bwawa litakamilika mwaka gani?Kwa bahati nzuri mimi nimefika Stiglaz na kuona maendeleo ya kazi.
Pressure ya kazi haipo kwenye kuzuia maji ili kutengeneza bwawa, pressure iko katika kuinua tuta la bwawa (Dam) na kujenga powerhouse itakayofungwa mitambo 9(turbines), kila turbine ikiwa na uwezo wa kufua umeme 235MW, au kwa turbine zote 9 , umeme utakaofuliwa ni 2115MW.
Haya masuala ya crane ni hype ya waandishi wa habari ambao hawana idea nini kinaendelea.
Mbona maswali yako yanazidi kichwa chako?Inatengenezwa kwa specification halafu ni ya kukodi? Kalemani hakujua kwamba hili winchi linahitajika kutengenezwa hadi asema bwawa linajazwa Nov.15? Hivi unakodi vipi kitu ambacho kiko taylor made kwa ajili yako?
Zimekopwa kuanzia mwaka gani?Wamekopa Trillion 8 bila ruhusa ya bunge, wameshindwa kununua crane kweli?
Mbrrrrrr mbrrrrrr mbrrrrrr mbrrrrrr pata uhondo wa ushuz.Pumbavu umejaa makamasi kichwani
Mkuu swali lako ni kama kuulizia mkasi kiwanda cha nguo, its irrelevant.Maji yanaweza kujazwa hata kwa muda wa miaka miwili, sio kwamba yanajazwa leo kesho yamejaa; anyway, mimi ninachotaka kujua, hilo Crane liko wapi ili tuanze kujaza maji hilo bwawa? Wameliagiza sayari ipi? Jupiter au Mars?
Hapo hakuna waandishi bali ni makamba mwenyewe alijibu sswali bungeni kuwa hakuna crane ya kubeba hayo mageti mpaka itoke nje ya nchi.Kwa bahati nzuri mimi nimefika Stiglaz na kuona maendeleo ya kazi.
Pressure ya kazi haipo kwenye kuzuia maji ili kutengeneza bwawa, pressure iko katika kuinua tuta la bwawa (Dam) na kujenga powerhouse itakayofungwa mitambo 9(turbines), kila turbine ikiwa na uwezo wa kufua umeme 235MW, au kwa turbine zote 9 , umeme utakaofuliwa ni 2115MW.
Haya masuala ya crane ni hype ya waandishi wa habari ambao hawana idea nini kinaendelea.
Hivi ule wenu wa kulima kule morogoro umefikia wapi na yale matrecta alionunua mwenyekiti?Tangu mwanzo huu mradi ulikuwa Batili na hautawahi kufanikiwa. Na si huu mradi pekee bali miradi yote inayoanzishwa na CCM . Inaanzishwaga mahsus na maksud kwa ajili ya upigaji.
Tulia weweee. Mnaiba bila aibu na huruma.Hivi ule wenu wa kulima kule morogoro umefikia wapi na yale matrecta alionunua mwenyekiti?
Kwani hhuo mladi kwenye ilani yenu umo na ulijadiliwa?
Na wewe inaonekana huelewi. Mageti yapo tayari ill crane na kuyashusha na ambazo zinafungwa moja kwa moja ill zitumike kuyafungua na kufunga wakati wowote ndio zilizokuwa zinaelezwa. Zinafungwa moja kwa moja.Mkuu usipojua kinaendelea nini huko Stiglaz, unaonekana irrelevant.
Crane haihitajiki kule, na kinachosubiriwa ni mageti ya kuzuia maji, na hilo halijazuia kazi ya ujenzi wa bwawa kuendelea.
Umezoea kutolewa kinyesiMbrrrrrr mbrrrrrr mbrrrrrr mbrrrrrr pata uhondo wa ushuz.
Sayngay
Jibu swali, fundi akushonee nguo kwa vipimo vyako wewe halafu iwe ya kukodi?Mbona maswali yako yanazidi kichwa chako?
Dollar bilioni 3, kuanzia awamu ya 6Zimekopwa kuanzia mwaka gani?