Kwa mlio kwenye system, tujuzeni lile crane la tani 26 liliagizwa toka Sayari ipi?

Kwa mlio kwenye system, tujuzeni lile crane la tani 26 liliagizwa toka Sayari ipi?

Hapo hakuna waandishi bali ni makamba mwenyewe alijibu sswali bungeni kuwa hakuna crane ya kubeba hayo mageti mpaka itoke nje ya nchi.
Na akasema kazi hiyo itafanyika mwezi wa tatu mwaka huu.
Basi Makamba ni kilaza!
 
Bwashee, hizo zilikuwa danganyatoto ili bwawa lisijazwe mpaka msimu wa mvua upite na kwa hiyo majaribio ya uzalishaji wa umeme yapite muda wake.
Kwa mbwembwe utamsikia January anasema wanaanza kujaza maji wakati wa kiangazi!
Chezea wahuni wewe!
 
Daaah, mvua zikipita ndio waanze kujaza 😀
 
Tangu mwanzo huu mradi ulikuwa Batili na hautawahi kufanikiwa. Na si huu mradi pekee bali miradi yote inayoanzishwa na CCM . Inaanzishwaga mahsus na maksud kwa ajili ya upigaji.
Nikikumbuka ule mkwala wa gesi ya Mtwara, naunga hoja yako kwa 100%
 
Back
Top Bottom