FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #41
Its relevant sababu by the time bwawa linajaa, na hizo turbines zitakuwa zimekamilika, eitherway, Makamba alisema wameagiza Crane ili kuwezesha ujazaji wa maji, liko wapi?!Mkuu swali lako ni kama kuulizia mkasi kiwanda cha ngo, its irrelevant.
Makamba is a novice!Its relevant sababu by the time bwawa linajaa, na hizo turbines zitakuwa zimekamilika, eitherway, Makamba alisema wameagiza Crane ili kuwezesha ujazaji wa maji, liko wapi?!
Basi Makamba ni kilaza!Hapo hakuna waandishi bali ni makamba mwenyewe alijibu sswali bungeni kuwa hakuna crane ya kubeba hayo mageti mpaka itoke nje ya nchi.
Na akasema kazi hiyo itafanyika mwezi wa tatu mwaka huu.
Waziri awe kilaza au asiwe Kilaza, atuambie hilo crane liko wapi?Basi Makamba ni kilaza!
Heri uulizie kifungo cha shati lako kilichopotea.Waziri awe kilaza au asiwe Kilaza, atuambie hilo crane liko wapi?
Hahahah, wacha wanaofahamu lilipo hilo crane la tano 26 waje watujuzeHeri uulizie kifungo cha shati lako kilichopotea.
Utapata jibu mapema zaidi.
Daaah, mvua zikipita ndio waanze kujaza 😀Bwashee, hizo zilikuwa danganyatoto ili bwawa lisijazwe mpaka msimu wa mvua upite na kwa hiyo majaribio ya uzalishaji wa umeme yapite muda wake.
Kwa mbwembwe utamsikia January anasema wanaanza kujaza maji wakati wa kiangazi!
Chezea wahuni wewe!
Dola bilioni 5 zilizobaki zilizokopwa awamu ya 5 zilikopwa kwa idhini ya bunge?Dollar bilioni 3, kuanzia awamu ya 6
Dollar billion 3 ndio shs .trillion 8 hizo. Kosa moja halihalalishi lingineDola bilioni 5 zilizobaki zilizokopwa awamu ya 5 zilikopwa kwa idhini ya bunge?
Ikifika mwezi mei mvua za masika zinamalizikia ndo utasikia 'crane zimefika sasa tunaziba na kuanza kujaza maji'. Kwa kuwa maji hayajazwi mara moja, ndiyo itakuwa imetoka hiyo mpaka 2023.Daaah, mvua zikipita ndio waanze kujaza 😀
Bila kusahau barabara ya km 126 ya njia nne toka Darpressure iko katika kuinua tuta la bwawa (Dam) na kujenga powerhouse itakayofungwa mitambo 9(turbines),
Kwenda wapi?Bila kusahau barabara ya km 126 ya njia nne toka Dar
Kwenda huko Bwawani ili mageti hayo makubwa yaweze kusafirishwa toka bandarini na kufikishwa hukoKwenda wapi?
Nikikumbuka ule mkwala wa gesi ya Mtwara, naunga hoja yako kwa 100%Tangu mwanzo huu mradi ulikuwa Batili na hautawahi kufanikiwa. Na si huu mradi pekee bali miradi yote inayoanzishwa na CCM . Inaanzishwaga mahsus na maksud kwa ajili ya upigaji.
Hilo si tatizo.Kwenda huko Bwawani ili mageti hayo makubwa yaweze kusafirishwa toka bandarini na kufikishwa huko
Na crane zimefika wapi?Happy New Year 2022.