Umezaliwa mwenyewe, utakufa mwenyewe.Unaishi peke yako. Huna rafiki wa karibu, sasa ikatokea umepata Changamoto ya kiafya kama kuugua Ghafla usiku au kuumia bahati mbaya... Mnawezaje kupata usaidizi wa dharura?
Au ndio ile ku adapt na mazingira?View attachment 3567973
Yani wewe useme halafu utuite sisi wanafki?Wanafiki watakwambia pesa ni kila kitu, wanafiki sana hao😁
Dada wa kazi si yupo mkuu?Ukitaka kujua umuhimu wa matter-ko basi kalia kichwa. Kwenye vipindi vya maradhi ndio utaona kabisa kuna gap kubwa ukiwa single.
Wanajitoa ufahamu tu, siku ukiugua miezi upo ndani au ukapata stroke ndo watajibeba kuelekea kwa shemeji 😂😂Ukitaka kujua umuhimu wa matter-ko basi kalia kichwa. Kwenye vipindi vya maradhi ndio utaona kabisa kuna gap kubwa ukiwa single.
Mbaya zaidi na ukiwa hauna mke kupata stroke ni ngumu sanaWanajitoa ufahamu tu, siku ukiuhua miezi upo ndani au ukapata stroke ndo watajibeba kuelekea kwa shemeji 😂😂
Dada wakazi atabeba ndoo kupeleka kumwaga chooni kwa kinyaa sana!!😁Dada wa kazi si yupo mkuu?
Muhimu si amebeba ? ipi faida ya kupeleka ndoo ya mapupu kwa choo bila kuwa na kinyaa?Dada wakazi atabeba ndoo kupeleka kumwaga chooni kwa kinyaa sana!!😁
Kuna ugonjwa unakupata kwenda kujisaidia mpaka msaada, au unajisevia kwenye pampers unadhani mdada wa kazi atakubali kirahisi?Dada wa kazi si yupo mkuu?
Dada wa kazi atakukokota kwenda bafuni kukusaidia kuoga? Atakuhudumia chakula wodini ukiwa umelazwa, atakukokota kwenda kwa daktari kupata vipimo, atafuatilia majibu ya vipimo ukiwa wodini?Dada wa kazi si yupo mkuu?
Wakipata shida za kusaidiwa na mke ambaye hana ndo kuanza kulaani wake za ndugu zao kwamba hawathamini wagonjwa 😂Sijawahi kuwa singo hivyo sina uzoefu😀
Kama analipwa ghali kwa nini asifanye mkuu?Kuna ugonjwa unakupata kwenda kujisaidia mpaka msaada, au unajisevia kwenye pampers unadhani mdada wa kazi atakubali kirahisi?
Ndio maana tunasaka hela kwa bidii ila tuwe na madaktari na manesi binafsi bwasheee 😅Dada wa kazi atakukokota kwenda bafuni kukusaidia kuoga? Atakuhudumia chakula wodini ukiwa umelazwa, atakukokota kwenda kwa daktari kupata vipimo, atafuatilia majibu ya vipimo ukiwa wodini?
Atakupeleka clinic?