Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
Bwashee hii story umeirudia tena kweli siku hio ilikuwa kipengele 😂Kuumwa kihivyo sikuwahi, ila kuna siku nilipata hangover ya ulevi mpaka nilihisi nakata moto , kilicho niokoa nilijiburuza bafuni nikajifungulia maji yakanimwagikia , kidogo yalinipa nguvu ya kwenda kulipa tumbo chochote kitu ,nikapona.