Bwashee hii story umeirudia tena kweli siku hio ilikuwa kipengele 😂Kuumwa kihivyo sikuwahi, ila kuna siku nilipata hangover ya ulevi mpaka nilihisi nakata moto , kilicho niokoa nilijiburuza bafuni nikajifungulia maji yakanimwagikia , kidogo yalinipa nguvu ya kwenda kulipa tumbo chochote kitu ,nikapona.
Hahaha hivi kumbe nilishaitoa humu tena😁😁😁Bwashee hii story umeirudia tena kweli siku hio ilikuwa kipengele 😂
Hakika7 yrs experience. (Japo nilishatoka huko!!)
Ila formula nilokuwa naitumia n kuishi vizuri na majirani... Yani nilikuwa naforce juu chini niwapate majirani hata wawili na ndugu hata mmoja ambaye nikimuungia nyaya hata kama n usiku wa manane anakuja!!
Imewah tokea mwaka flani nikadakwa na police... jirani na ndugu mmoja wakapambana nikatoka wakipewa usaidizi na mwenye nyumba wangu!!
Kwahyo ukiwa peke yako jitahidi usiwe mzito kutoa salam, pia usisite kujichanganya na wenzako....
Na mbinu nyingine huwa naenda kujitambulisha msikiti wa karibu na ninapoishi kuwa n mgeni mtaa huo (ndo ntakuwa naswalia hapo daily)
Bila kusahau office za balozi + mwenyekiti wa mtaa!!
Watu huwa wananiona kama boya lakini hii kitu huwa inasaidia kushinda uwepo wa ndugu 10😁
Halafu n process ya siku moja tu na wala hutumii gharama yoyote
Mimi sijambo ila maradhi tumeumbiwa wanadamuHongera kama huumwi
I hope mshana Jr ni mzima😎😎
Kuwa single is not equal kutokuwa na marafiki,Unaishi peke yako. Huna rafiki wa karibu, sasa ikatokea umepata Changamoto ya kiafya kama kuugua Ghafla usiku au kuumia bahati mbaya
Mnawezaje kupata usaidizi wa dharura?
Au ndio ile ku adapt na mazingira?
View attachment 3567973
Hawatatupata hawa,naona techniques zao tumeshazisoma hawaa..Walio oa bado wanatafuta kila njia tusio oa tuoe😅
Hahhaaha mno bwasheeHawatatupata hawa,naona techniques zao tumeshazisoma hawaa..