Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Mimi nilivutiwa na harakati za huyu ndugu yangu...na misimamo yake juu ya kutetea usawa na haki za watu weusi Marekani.....

Ni mtu jasiri na asiye na chembe ya uoga na unafiki katika kupigania kile anachoona ni sahihi kwake.......


Respect all, fear none....
 
John cena.

Ni jasiri, anajiamini na ni kipenzi cha watu. Imani yake ya katika kutokukata tamaa anapopigwa, hata wakati amejiandaa sana na pambano hakubali kushindwa (never give up)

Anainuka tena, anajipa moyo na kupambana upya, (hata baada ya kupigwa sana) mwisho wa siku anakuwa mshindi (overcome)
 
Wa kwanza ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…