marahaba cheupeShikamoo
marahaba cheupe
Umenenepaaaaa
unakomaje sasa?? ulinambia avatar inayokuja utageuka huku naona umefanya vice versaHe he nitakoma sio mm huyo bwana niliipenda tu hiyo picha ya watu nikaiiba
unakomaje sasa?? ulinambia avatar inayokuja utageuka huku naona umefanya vice versa
niahidi tena basi
hahaha ukiwa muongo kumbukumbu muhimu unajua cheupe......ila umenenepa ukilinganisha na ile uliyoitoaKhaaaa
Lini nilikwambia hivyo siwezi weka avatar nimegeuka ukiona ya kugeuka sio mm
Picha zangu ninazoweka mgongo najiweka mwenyewe
hahaha ukiwa muongo kumbukumbu muhimu unajua cheupe......ila umenenepa ukilinganisha na ile uliyoitoa
me nangoja ugeuke tu
Safi sana sina comment zaidiNimejiweka mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikigeuka utanikimbia ujue nina sura ya baba angu
mshike uongo usiache akaenda zakeHahhaha basi nitakuwa nilikudanganya tu
Safi sana sina comment zaidi
Kweli jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Furani=FulaniYangu nimeiweka kwa dhumuni la kumuathili kisaikolojia ninaye mpinga hoja, nikimpinga then akiiona avatar yangu ana imagine kama ninamng'ong'a furani vile.
cheupe dawaNimejiweka mwenyewe
Yaani sina comment zaidi kwenye hiyo picha nafikiri umenielewa [emoji12]Sema kweli mzee wa liver
Umeongea kinyume chakeSema kweli mzee wa liver
Jiamini@cha_mitandaoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mkuu ukiona sura yangu utanikimbia
cheupe dawa