MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
Kwa wale wote ambao mnakuja sua mmechaguliwa chuo bora kabisa hapa tanzania.but chondechonde wadogo zangu mkija msije mkajisahau coz hapa sua kitabu ni tight ukizingua fasta unaliwa kichwa.sua ni chuo cha kigumu chenye kila kitu.kwa wale mtakaokuja campus ya sua hapa solomon mahlangu mazimbu kuna totoz za maana so niwewe tu ushindwe.mana mnatishiwaga sua hakuna warembo or sjui mara sua hv.but ukwl ni kuwa ukija mazimbu utakutana na totoz kali mpaka utadhani solomon mahlangu si sua.but msisahau kilichowaleta hapa ni kitabu so pigeni shule wadogo