consigliori
JF-Expert Member
- Mar 29, 2010
- 392
- 89
Hata vyuo unaamua uende wapi bana, wewe huwezi kufaulu vizuri halafu uende bora chuo! Ila kama ufaulu wako tia maji tia maji, unaishia kupelekwa kwenye ushindani mdogowanasema kuwa na baba masikini hauna cha kulaumiwa ila kuwa na baba mkwe masikini hapo umeyataka mwenyewe kwahyo mtu kuchaguliwa hvyo vyuo mnavyoita vya kata hana xha kulaumiwa ila akishindwa kutumia alichokipata huko kutengeneza mkate wa kila siku hapo unaweza kumdhihaki