Kwa mliochaguliwa kwenda sua ni bonge la chuo,wa vyuo vya kata tusitafutane ubaya ni mtazamo tu

Kwa mliochaguliwa kwenda sua ni bonge la chuo,wa vyuo vya kata tusitafutane ubaya ni mtazamo tu

wanasema kuwa na baba masikini hauna cha kulaumiwa ila kuwa na baba mkwe masikini hapo umeyataka mwenyewe kwahyo mtu kuchaguliwa hvyo vyuo mnavyoita vya kata hana xha kulaumiwa ila akishindwa kutumia alichokipata huko kutengeneza mkate wa kila siku hapo unaweza kumdhihaki
Hata vyuo unaamua uende wapi bana, wewe huwezi kufaulu vizuri halafu uende bora chuo! Ila kama ufaulu wako tia maji tia maji, unaishia kupelekwa kwenye ushindani mdogo
 
Kwa wale wote ambao mnakuja sua mmechaguliwa chuo bora kabisa hapa tanzania.but chondechonde wadogo zangu mkija msije mkajisahau coz hapa sua kitabu ni tight ukizingua fasta unaliwa kichwa.sua ni chuo cha kigumu chenye kila kitu.kwa wale mtakaokuja campus ya sua hapa solomon mahlangu mazimbu kuna totoz za maana so niwewe tu ushindwe.mana mnatishiwaga sua hakuna warembo or sjui mara sua hv.but ukwl ni kuwa ukija mazimbu utakutana na totoz kali mpaka utadhani solomon mahlangu si sua.but msisahau kilichowaleta hapa ni kitabu so pigeni shule wadogo
Wewe ni Zinga la Poyoyo,,,Mse**E mkubwa ww,,,,,,tena wanaku***da,,,,msomi hawezi andika thread za kijinga kama hiyo ulio post
 
Wewe ni Zinga la Poyoyo,,,Mse**E mkubwa ww,,,,,,tena wanaku***da,,,,msomi hawezi andika thread za kijinga kama hiyo ulio post

Na wewe kwa uandishii huu unajiita msomiii.... huna tofouti na punguaniii
 
wewe umfunze nani adabu,mi ndo nitakufundisha adabu coz inaonesha unaupeo mdogo sana wa kufikiri bwana mdogo

Aisee binti siwezi bishana na wewe sana kwa sababu umesha kichafua chuo cha SUA kwamba nyie mabinti wa hapo ni wazuri sana,hii inamaanisha unachochea ngono hapo chuoni ,lakini sisi vijana tusikulaumu sana kwa sababu nyie mna kipaumbele kikubwa kuzidi sisi.
NB:Elimika uisaidie jamii yako.
 
jaman msamehen binti wa watu....yuko kwenye siku zake....hajielewi elewi
 
Aisee binti siwezi bishana na wewe sana kwa sababu umesha kichafua chuo cha SUA kwamba nyie mabinti wa hapo ni wazuri sana,hii inamaanisha unachochea ngono hapo chuoni ,lakini sisi vijana tusikulaumu sana kwa sababu nyie mna kipaumbele kikubwa kuzidi sisi.
NB:Elimika uisaidie jamii yako.

ww umeisaidia nn jamii? nahc we shoga umetamani kupakuliwa
 
ww umeisaidia nn jamii? nahc we shoga umetamani kupakuliwa

Binti kuwa mpole usiwe na jazba tunapo kukosoa sio kwamba hatukupendi lahasha jamii inahitaji msaada wako kwa hali na mali pale utakapo hitimu masomo yako nadhani ukipata Ushauri zaidi utaelewa kwa nini wewe upo chuo.

NB: jukwaa hili ni kuelimishana na kupata mambo ya msingi ya kielimu na si kujiuza ama kujitangaza kwa biashara za ngono iliyo salama ama isiyo salama.
 
We ------ tu! ------ wewe na najuta kuona hii thread coz umeaibisha chuo changu na kwa wasomi wengne jueni SUA na chuo kikuu chochote hakuna mamburula kama hawa!! labda ma 4m 4 failures ama machoma chips tu! ukivmba pasuka by #kasugugu #the great
 
Back
Top Bottom