Kwa mliochaguliwa kwenda sua ni bonge la chuo,wa vyuo vya kata tusitafutane ubaya ni mtazamo tu

Kwa mliochaguliwa kwenda sua ni bonge la chuo,wa vyuo vya kata tusitafutane ubaya ni mtazamo tu

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,780
Reaction score
2,555
Kwa wale wote ambao mnakuja sua mmechaguliwa chuo bora kabisa hapa tanzania.but chondechonde wadogo zangu mkija msije mkajisahau coz hapa sua kitabu ni tight ukizingua fasta unaliwa kichwa.sua ni chuo cha kigumu chenye kila kitu.kwa wale mtakaokuja campus ya sua hapa solomon mahlangu mazimbu kuna totoz za maana so niwewe tu ushindwe.mana mnatishiwaga sua hakuna warembo or sjui mara sua hv.but ukwl ni kuwa ukija mazimbu utakutana na totoz kali mpaka utadhani solomon mahlangu si sua.but msisahau kilichowaleta hapa ni kitabu so pigeni shule wadogo
 
Haya mambo zamani nilikuwa nayaona kwenye taarabu za mwambao, lakini sasa nastaabu kuyaona kwa watu tunaodhani wanaelekea kuitwa wasomi.
 
Hivi wewe ni mwanafunzi wa sua au mpishi wa sua..
Umetuaibisha aseee,yani mpaka naona aibu kuchaguliwa chuo cha vilaza kama wewe...
 
We ni mngese kweli ,kwanza unavoandika kama mtoto wa darasa la pili.
 
Elimu ya Tanzania haina chuo bora, wewe ulipoenda hata kama ni Jordan kajipange vizuri utakuwa bora kuliko hata huyo wa SUA, mfano mzuri ni jinsi anavyoandika neno SUA, tunao kwenye kazi tunawaona.
 
jaman,.. mbona watu wengne hawajitambui!!!? hili jukwaa la elimu sio la ma kj!!
 
hapa solomon mahlangu mazimbu kuna totoz za maana so niwewe tu ushindwe.mana mnatishiwaga sua hakuna warembo or sjui mara sua but ukwl ni kuwa ukija mazimbu utakutana na totoz kali mpaka utadhani

Dogo naona unajitihada za kumpiku Mzee yusuph kwenye tuzo za Kili, ila sikushangai sana labda ulisoma seminary bado una kipururuu lakini muda mwingine etii huwa mnalalamika kuwa nyie ni watoto wa wakulima kumbe mmejaa fikra za Ngono tena zisizokuwa salama kwa hizo fedha za walipa kodi mnazopata kupitia mkopo wa Serikali,sidhani kama wewe ni msomi.
NB:Endeleeni kuanzisha thread kama hizi ili Tuwafunze adabu, muwe na maadili mazuri...
 
Join Date : 19th April 2013
Posts : 10
Rep Power : 324 Likes Received: Likes Given: 1 2

PUMBA TUPU MZEE MSASAMBEGU nawe unasoma chuo kikuu? Piga msuli wa kutosha angalau kama utaambulia kitu. Kichwa chako bado kimejaa hewa, jitahidi kusoma angalau u-replace hiyo hewa iliyojaa kichwani na material. Pole umejiunga JF kwa PUPA!
 
Last edited by a moderator:
Haya mambo zamani nilikuwa nayaona kwenye taarabu za mwambao, lakini sasa nastaabu kuyaona kwa watu tunaodhani wanaelekea kuitwa wasomi.
mimi sio msomi mkuu.kwani we umesoma chuo gani vile coz wa vyuo vya kata utawafahamu tu
 
hapa solomon mahlangu mazimbu kuna totoz za maana so niwewe tu ushindwe.mana mnatishiwaga sua hakuna warembo or sjui mara sua but ukwl ni kuwa ukija mazimbu utakutana na totoz kali mpaka utadhani

Dogo naona unajitihada za kumpiku Mzee yusuph kwenye tuzo za Kili, ila sikushangai sana labda ulisoma seminary bado una kipururuu lakini muda mwingine etii huwa mnalalamika kuwa nyie ni watoto wa wakulima kumbe mmejaa fikra za Ngono tena zisizokuwa salama kwa hizo fedha za walipa kodi mnazopata kupitia mkopo wa Serikali,sidhani kama wewe ni msomi.
NB:Endeleeni kuanzisha thread kama hizi ili Tuwafunze adabu, muwe na maadili mazuri...

wewe umfunze nani adabu,mi ndo nitakufundisha adabu coz inaonesha unaupeo mdogo sana wa kufikiri bwana mdogo
 
Elimu ya Tanzania haina chuo bora, wewe ulipoenda hata kama ni Jordan kajipange vizuri utakuwa bora kuliko hata huyo wa SUA, mfano mzuri ni jinsi anavyoandika neno SUA, tunao kwenye kazi tunawaona.

wewe hamna chuo bora ila huwezi fananisha ud na udom or sua na teku
wewe huna hadhi ya kusoma chuo kama sua so najua roho zina wauma
wacha watu tujinafasi bwana mdogo
 
mimi sio msomi mkuu.kwani we umesoma chuo gani vile coz wa vyuo vya kata utawafahamu tu

Kutokana na post yako nilitambua kuwa sio msomi na ndio maana sikukuita msomi. Kuna msemo mmoja wa kingereza unasema "Don't judge a book by looking its cover" huu msemo huwa unaeleweka vizuri na wasomi.
 
wanasema kuwa na baba masikini hauna cha kulaumiwa ila kuwa na baba mkwe masikini hapo umeyataka mwenyewe kwahyo mtu kuchaguliwa hvyo vyuo mnavyoita vya kata hana xha kulaumiwa ila akishindwa kutumia alichokipata huko kutengeneza mkate wa kila siku hapo unaweza kumdhihaki
 
Back
Top Bottom