MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
hapa solomon mahlangu mazimbu kuna totoz za maana so niwewe tu ushindwe.mana mnatishiwaga sua hakuna warembo or sjui mara sua but ukwl ni kuwa ukija mazimbu utakutana na totoz kali mpaka utadhani
Dogo naona unajitihada za kumpiku Mzee yusuph kwenye tuzo za Kili, ila sikushangai sana labda ulisoma seminary bado una kipururuu lakini muda mwingine etii huwa mnalalamika kuwa nyie ni watoto wa wakulima kumbe mmejaa fikra za Ngono tena zisizokuwa salama kwa hizo fedha za walipa kodi mnazopata kupitia mkopo wa Serikali,sidhani kama wewe ni msomi.
NB:Endeleeni kuanzisha thread kama hizi ili Tuwafunze adabu, muwe na maadili mazuri...
mimi sio msomi mkuu.kwani we umesoma chuo gani vile coz wa vyuo vya kata utawafahamu tuHaya mambo zamani nilikuwa nayaona kwenye taarabu za mwambao, lakini sasa nastaabu kuyaona kwa watu tunaodhani wanaelekea kuitwa wasomi.
hapa solomon mahlangu mazimbu kuna totoz za maana so niwewe tu ushindwe.mana mnatishiwaga sua hakuna warembo or sjui mara sua but ukwl ni kuwa ukija mazimbu utakutana na totoz kali mpaka utadhani
Dogo naona unajitihada za kumpiku Mzee yusuph kwenye tuzo za Kili, ila sikushangai sana labda ulisoma seminary bado una kipururuu lakini muda mwingine etii huwa mnalalamika kuwa nyie ni watoto wa wakulima kumbe mmejaa fikra za Ngono tena zisizokuwa salama kwa hizo fedha za walipa kodi mnazopata kupitia mkopo wa Serikali,sidhani kama wewe ni msomi.
NB:Endeleeni kuanzisha thread kama hizi ili Tuwafunze adabu, muwe na maadili mazuri...
wewe umfunze nani adabu,mi ndo nitakufundisha adabu coz inaonesha unaupeo mdogo sana wa kufikiri bwana mdogo
kaa kimya mbumbumbu wa kufikiri wewe.mi sijaja kujitangaza hapa kama mi msomiMamaa afraid 2 call u msomi
Elimu ya Tanzania haina chuo bora, wewe ulipoenda hata kama ni Jordan kajipange vizuri utakuwa bora kuliko hata huyo wa SUA, mfano mzuri ni jinsi anavyoandika neno SUA, tunao kwenye kazi tunawaona.
mimi sio msomi mkuu.kwani we umesoma chuo gani vile coz wa vyuo vya kata utawafahamu tu