Kwa mliochaguliwa kwenda sua ni bonge la chuo,wa vyuo vya kata tusitafutane ubaya ni mtazamo tu

Sema waambie na matatizo kaka mfano lecturers 8 hushea power point 1 na mengineyo napita tu....
 
From my point of view

Kutokana na malalamiko mengi wanayotoa wana JF hususan jukwaa hili la elimu kuwa form six wanaotarajia kujiunga na vyuo wamekuwa wakipost threads ambazo hazina tija wala hazijabeba maana halisi ya madhumuni ya kuwepo kwa jukwaa hili,mnaonaje wakuu ikiwa mtakuwa mnazipita zile threads ambazo nyie mmnaziona za kitoto kusudi watoto na watoto wenzao waweze kushea utoto wao?hata nyumbani huwezi kucheza na watoto,watoto hucheza na watoto wenzao,ila mnapoona wanastahili msaada muwape,but c kwa kuwa undermine,

Ni hayo tu,ahsanteni na adios...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…