mujimali
Senior Member
- Jun 21, 2013
- 190
- 116
ww umebanwa aja kubwa nenda chooni usituchafulie hewa humu
yan we mke wa lecturer siamini kamaa ukiwa kwenye cku zako unaeza kuwa mpuuzi kiasi hiki...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ww umebanwa aja kubwa nenda chooni usituchafulie hewa humu
Sema waambie na matatizo kaka mfano lecturers 8 hushea power point 1 na mengineyo napita tu....Kwa wale wote ambao mnakuja sua mmechaguliwa chuo bora kabisa hapa tanzania.but chondechonde wadogo zangu mkija msije mkajisahau coz hapa sua kitabu ni tight ukizingua fasta unaliwa kichwa.sua ni chuo cha kigumu chenye kila kitu.kwa wale mtakaokuja campus ya sua hapa solomon mahlangu mazimbu kuna totoz za maana so niwewe tu ushindwe.mana mnatishiwaga sua hakuna warembo or sjui mara sua hv.but ukwl ni kuwa ukija mazimbu utakutana na totoz kali mpaka utadhani solomon mahlangu si sua.but msisahau kilichowaleta hapa ni kitabu so pigeni shule wadogo