chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Habari wakuu.
Nimeona nianzishe uzi huu ili tuweze kushirikishana machache kwa wale waliofanikiwa ku-root simu zao.
Kama ilivyo jadi kwa wanaJF kuelimishana na kusaidiana pale inapobidi.
Wengi wetu tumekuwa tukifanya maamuzi mengine kwa kufuata mkumbo na hatupo tiyari kukiri hilo.
Sasa naomba wale wenzetu wajuzi wa mambo ambao mli root simu zenu kwa sababu mnazozijua mtusaidie namna mnavyoweza kufurahia simu zenu tofauti na ilivyokuwa awali, maana ku-root simu bila sababu hilo ndio tatizo.
Please mtusaidie nasi tuliofuata mkumbo pasipokujua faida zake.
Naombeni wataalamu mtusaidie hapa.
-Endapo kuna Apps, Features na mambo mengine kibao basi tunaweza kufaidi baada ya ku-root simu basi tujimwage hapa.
NB : Nimepitia nyuzi nyingi sana kuhusiana na hili suala la rooting lakini hazipo clear, nyingi zinaishia kuelezea namna ya ku-root.
Regards,...